Kiukweli wanawake ni wavurugaji sana!

Kiukweli wanawake ni wavurugaji sana!

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;

* Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza utamtoa kizazi, hataki.

* Ukiwa na kibamia atakutukana na atasema unamchafua tuu atakwambia ongeza uume na ole wako uongeze atakuambia tena anaumia.

* Atataka umkojoze panapo sita kwa sita ila sasa akikumbuka hela huna atakwambia wewe ni mwanaume suruali.

* Ukimkojoza na ukiwa hauna kitambi mwanamke anataka uwe na kitambi.

* ukiwa na kitambi anataka uwe na sixpack.

*ukiwa na six pack na mwembamba anataka uwe na hela.

*Ukiwa na hela anataka uwe na nguvu za kiume.

* Ukiwa na nguvu za kiume anataka uwe mnene.

* Ukiwa mnene mara anataka uwe unamiliki ndinga.

* Na ole wako uwe na hela ndio atalazimisha uwe na kitambi na unenepe, sasa ole wako usiwe na kitambi utajua hujui.

Yaani itakuwa kila siku anajiliza eti akidai anaonekana hakutunzi, yeye ananenepa wewe haunenepi.

NB: Ukiweza timiza yote hayo ataenda kugongwa huko nje na mwisho wa siku atakuona wewe ni fala tuu!

Yani ni vurugu vurugu! Wanaume, hawa viumbe msiwasikilize kabisa, wewe mwitikie tuu ila usisikie anacho kisema na usitekeleze maana utaumia.
 
Nimecheka, acha tu, inabidi tuitishe kikao na maazimio ya pamoja kwa haya malalamiko...

Kwa kifupi mwanamke anataka kile ambacho huna, ni kuishi nao kwa akili tu.

Ukutaka kujua kuna Mungu ndo hapa, kila kanuni ya kuishi na mume au mke yaitaji usafi, hakuna mtu smart hapa.
 
Habari za wakati huu..moja kwa moja wanawake hawajui wanacho kitaka yani ni vurugu vurugu kabisa.. yani ipo hivi..

* Ukiwa na uume mrefu atakuambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza utamtoa kizazi hataki

* Ukiwa na kibamia atakutukana na atasema unamchafua tuu atakuambia ongeza uume na ole wako uongeze atakuambia tena anaumia

* Atataka umkojoze panapo sita kwa sita ila sasa akikumbuka hela huna atakuambia wewe ni mwanaume suruali

* Ukimkojoza na ukiwa hauna kitambi mwanamke anataka uwe na kitambi..

* ukiwa na kitambi anataka uwe na sixpack ..

*ukiwa na six pack na mwembamba anataka uwe na hela..

*Ukiwa na hela anataka uwe na nguvu za kiume

* Ukiwa na nguvu za kiume anataka uwe mnene...

* Ukiwa mnene mara anataka uwe unamiliki ndinga

* Na ole wako uwe na hela ndio atalazimisha uwe na kitambi na unenepe sasa ole wako usiwe na kitambi utajua hujui....

Yani itakua kila siku anajiliza eti akidai anaonekana hakutunzi yeye ananenepa wewe haunenepi...


Nb... Ukiweza timiza yote hayo ataenda kugongwa huko nje.. na mwisho wa siku atakuona wewe ni fala tuu

Yani ni vurugu vurugu...Wanaume hawa viumbe msiwasikilize kabisa.. wewe mwitikie tuu ila usisikie anacho kisema na usitekeleze maana utaumia
Chadema mnajambishwa sio eeeh 🤣🤣🤣🤣🤣 FubileJr
 
Hayo ulioyaorodhesha ni ya watu 10 tofauti, ni wewe tu kujua unaangukia point ipi hapo kati ya ulizolist
Sasa machaguo yote hayo c yanazid hata haya ya waweka mkeka?we unaweka double change ila mwenyewe anatoa sare ....ni ngumu mno kujua anataka kipi
 
""""Kula Chumaa hichoo"""in Zomboka's Voice,,,,achana na wanawake fanya mambo mengine!!
 
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;

* Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza utamtoa kizazi, hataki.

* Ukiwa na kibamia atakutukana na atasema unamchafua tuu atakwambia ongeza uume na ole wako uongeze atakuambia tena anaumia.

* Atataka umkojoze panapo sita kwa sita ila sasa akikumbuka hela huna atakwambia wewe ni mwanaume suruali.

* Ukimkojoza na ukiwa hauna kitambi mwanamke anataka uwe na kitambi.

* ukiwa na kitambi anataka uwe na sixpack.

*ukiwa na six pack na mwembamba anataka uwe na hela.

*Ukiwa na hela anataka uwe na nguvu za kiume.

* Ukiwa na nguvu za kiume anataka uwe mnene.

* Ukiwa mnene mara anataka uwe unamiliki ndinga.

* Na ole wako uwe na hela ndio atalazimisha uwe na kitambi na unenepe, sasa ole wako usiwe na kitambi utajua hujui.

Yaani itakuwa kila siku anajiliza eti akidai anaonekana hakutunzi, yeye ananenepa wewe haunenepi.

NB: Ukiweza timiza yote hayo ataenda kugongwa huko nje na mwisho wa siku atakuona wewe ni fala tuu!

Yani ni vurugu vurugu! Wanaume, hawa viumbe msiwasikilize kabisa, wewe mwitikie tuu ila usisikie anacho kisema na usitekeleze maana utaumia.
Nimecheka sana 😁 😁 😁
We ishi maisha yalio ndani ya uwezo wako tu.
 
Sorry niko nje ya mada lakini, hivi ni njia gani nzuri ya kumwambia mwanaume juu ya kumsaidia tatizo alilonalo (mf nguvu za kiume)
Tatzo la nguvu za kiume sizani kama linaweza kutibika kwa mtu alie na umri zaidi ya miaka 30

Ukiachana na matatizo ya kiafya kama kisukari yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume,ila wengi wao wenye afya njema ni uvivu wao tu.

Narudia tena kwa wanaume wengi wenye tatizo za nguvu za kiume ni wale wavivu na wabinafsi wasiojali wapenzi wao,kama mwanaume anamjali mpenzi wake lazima atajitahid kwa nguvu zote aweze kumpelekea moto ipasavyo mpenz wake

Maana kupeleka moto sio jambo rahisi inatakiwa mwanaume ajitoe kweli kweli
 
Mimi nawapiga shoo vizuri Kisha nawaambia hata hivo nafsi yangu kiukweli sikupendi, sioni cha kunishawishi Kama unaweza kunishawishi nikupende Anza sasa nijue. Ndio imeisha nawatesa hawa manyoka, akimaliza kulia namwambia nakudanganya nakupenda ila Kama huna true love nakuacha soon
 
She do she do she dowa.... She dowan nobady.............. In harmonize voice.
 
Back
Top Bottom