Nimeamini pesa zinanukia

Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga, ma demu wa zamani wananitumia msg za kuni miss, ndugu nao wanapigia kila wakati kunisalimia hapa ndio naamini pesa zinanukia aiseee
Sasa haponchagua watu wa3 tu wa maana wasaidie halafu wengne wapige ban ya miez 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida sana ukiwa huna ukipat lazima watu wajue pesa sio asili yetu ikikutembelea unaweza ukawa hujamuambia mtu ila matendo yakonyaonyesha
 
Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga, ma demu wa zamani wananitumia msg za kuni miss, ndugu nao wanapigia kila wakati kunisalimia hapa ndio naamini pesa zinanukia aiseee
Kuwa makini
 
Kuna wale wenzangu na mimi, ambao hauwezi kututabiri/kutubashiri

Nikiwa sina hela kabisana, nikiwa na elf 1, nikiwa na elf 10 au nikiwa laki 1 hakuna tofauti.

Yaani huwezi kunibashiri Hata kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom