Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa aina hii ya ndoa za kisasa ambazo hazina vetting ya kutosha kupata mwenza bora ni turufu.. Yaani ni sawa na kubet kisha upatie Kwa kasi hii ya talaka.. Rejea ripoti ya RITA ni wazi ndoa hizi...
29 Reactions
139 Replies
6K Views
Natafuta mpenzi sifa yake hizi hapa Awe mkazi wa Arusha , Awe mwalimu wa mazoezi good day
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi! 1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na...
42 Reactions
148 Replies
10K Views
Wakuu. Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Mimi nilipoanza first...
23 Reactions
274 Replies
60K Views
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu...
9 Reactions
141 Replies
6K Views
Wanajukwaa, Njooni tusaidiane mawazo kidogo.. I feel lost…seriously. Nasumbuliwa na upweke yaani Hali ya kujisikia kuwa na mtu ambaye atakuwa ni mwelewa niwe huru kufunguka kwake na yeye awe...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Unakutana na mkaka handsome anavutia, anakutafuta kwa muda kisha anakutongoza . Unapomuuliza kama ameoa anakwambia bado, ukimuuliza kweli kwa umri huu huna mke , anakujibu ndoa imevunjika, au...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Bila kuchoshana huwa napenda, Utani, masihara na kupima uelewa wa watu kwa undani zaidi. JF Haina freedom of speech tunaongopeana tu...Maana nilipost Uzi hapa unaitwa KIVURUGE, hauna luga' isyo na...
2 Reactions
9 Replies
691 Views
Wakuu hivi hizi tabia za kiburi, jeuri kununa, ubishi wa hawa wanawake wanatoa wapi? Licha ya kuomba, hekima natumia lakini bado, saiv nishatimua kitambo lakini nimekausha namvutia subira. Au mi...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada, ni jambo la kuzungumza tu pasi mihemko maana yaweza mkuta Mwamba mwenzetu yoyote siku moja kwetu sisi WANAUME. ktk eneo la makazi tunapoishi tunashuhudia...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe. Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’. Hata kama...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia. Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Hello JF, nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara, Popote mlipo wenye...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza...
67 Reactions
250 Replies
17K Views
NILIOA MWANAMKE KUMBE JINI - 2 Mikasa ya kusisimus Kuanzia muda huo, tulianza kuongea mambo mengi, kwanza nilimfahamisha Sakina maisha yangu kuwa sijawahi kuoa na nimekuwa nikitafuta mwanamke...
0 Reactions
11 Replies
60K Views
Nina miaka 20 but sijawahi kufanya mapenzi because huwa nawaogopa sana wanawake tangu nipo form one mpaka sasa. Je, siwezi kupata madhara, na je umri gani kwa mtoto wa kiume unafaa kufanya...
3 Reactions
28 Replies
9K Views
Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa...
8 Reactions
63 Replies
5K Views
Imagine nipo single tangu 2020 lakini mbususu nazikung'uta mpaka nakinai na sio zile za kununua vichochoroni, sijawahi na sitawahi kununua malaya. Natafuna mbususu zinazoeleweka tena sio girls ni...
14 Reactions
215 Replies
11K Views
Huu ni utafiti wangu wa muda mrefu. Wanawake wenye sura mbaya wanapenda sana kutumia kingereza kwenye mijadala hasa hawa wanawake wenye sura mbaya alafu wasomi. Nenda kula Twitter, Instagram...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…