Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi?
Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo...
Hapa nlipopanga ni vyumba viwili sebule na jiko, na nje kuna kibaraza mbele ya sebule ambako ni karibu na barabara. Tumekaa hapa takribani miaka miwil bila shida yoyote.
Juzi kati wife ananipigia...
STORI: VIJANA WA NAMBA WA NAMBA 9
“Wazee wa chombezo kichuo chuo”
SEHEMU YA KWANZA (01)
INSTARAM @middotz_
Whatstapp: +255 655 969 973
Chombezo ni moja ya vitu wafikiriavyo vijana wengi chuoni...
Jamani hii kitu najiuliza sana. Inakuwaje wadada wenzagu, tena wengine nawazidi uzuri lkn wao wanahongwa magari na majumba? Mm naishia kupewa elfu 20, 50 ama kulipiwa kodi mwezi mmoja?
Nipeni...
Habari zenu wakuu. Nimewiwa kuwasimilia safari yangu ya mahusiano hatimae kuja kumpata aliyesubiriwa kwa miongo kuwa Mrs A.
Mimi ni aina ya wale vijana wa kiume wanaoamini kwenye kujitafuta...
Ni usiku tulivu. Naomba sasa nielekee kwenye hoja yangu moja kwa moja.
Wewe unaweza, ingawa mara moja au zaidi umekuwa ukidharaulika.
Umeanza darasa la kwanza mpaka la saba, ukafika sekondari na...
Hata zawadi ya Mimba msije omba. Mke wa mtu si mtu. Mke wa mtu si sumu tu peke yake ni balaa.
Kimbu ana hali mbaya. Mbaya sana jamaa yangu.
Soma: Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama...
Habari..
Kutokana na wimbi kubwa la vijana pamoja na wanawake na mabinti wa dogo wenye tamaa mbaya ya hela, mali na anasa za hapa duniani. Vijana wengi, Wanawake na mabinti wamepotoka na kuanza...
Habari!
Kama kichwa kinavyosema.
Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili...
Tambua:
Siku hizi sio kama zamani ambapo undugu ulikuwa na thamani, damu ilikuwa nzito kuliko maji.
Siku hizi unaweza ukawa na braza hapa mjini msionane miaka miwili na msipigiane simu.
Siku...
Wakuu za sahizi
Tuendee direct kwenye mada...
Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha
KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI
-...
Wakuu Leo shemeji yenu amekula kelebu moja matata baada ya kuniletea majibu ya mkato yaliyochanganyika na mzaha wakati ambao mimi ndgu yenu nilikuwa serious.
Mara moja moja kuwakumbusha hawa...
Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi.
Hii pisi...
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, kuna muda unafika kwa mwanaume unaona kabisa unaitaji kua na Mke ili kuanzisha Familia.
Inafahamika kila mmoja ana vigezo vya mwanamke amtakayae na hua...
Historia inaonyesha mke wa sasa wa Mfalme Charles III wa Uingereza ambaye pia ni Malkia wa nchi hiyo, Camilla Rosemary Shand alikuwa kwenye mahusiano ya siri ya kimapenzi na mfalme huyo kwa...
Wana JF habari,
Samahani mimi nipo katika mahusiano na mpenzi wangu miaka mitatu, sasa kuna tabia anazo ndio huwa zinafanya tunakosana.
Tuliachana tukakaa miezi miwili bila mawasliano...
Hello.
Wanajamii..
Hii ni kwa dhati ya Moyo wangu.. nina penda watoto sana ila sijapata mwanamke mwenye muelekeo wa mke mwema anaye weza kuzaa na kulea mtoto katika maadili.. wengi ninao kutana...
Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far.
Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana...