Je, mke kwanza au wazazi kwanza?

Je, mke kwanza au wazazi kwanza?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,307
Reaction score
62,516
Ni wanaume wangapi, wanaweza kuwapa kipaumbele wazazi wao kabla ya wake au wapenzi wao wa kike?

Je, mke kwanza au wazazi kwanza?

wt.jpg

Karibuni kwa mjadala.
 
View attachment 2613415

Karibuni kwa mjadala.
Hili swali na huu mjadala inaonyesha jinsi busara ilivyokuwa bidhaa adimu kwa wanandoa wengi. Kwangu mimi hakuna aliye muhimu kuliko mwingine. Mke na wazazi wote kila mmoja ana umuhimu wa aina yake. Huwezi kufananisha umuhimu wa mke na umuhimu wa wazazi. Ni vitu viwili ambavyo viko tofauti lakini kila kimoja kina umuhimu wake. Ni kama kuuliza moyo na damu ni kipi ni muhimu kwa mwili wa binadamu.
 
Kwanza lazima ujue kutofautisha Mke na Mpenzi.

Kama Biblia imeagiza Mume na Mke wataungana na kuwa mwili Mmoja najua hapo utakuwa umeshajua kuwa Mama/ Baba hawa tayari wameshakuwa mwili mmoja, hivyo wewe pia unatakiwa kutengeneza bond yako na huyo Mkeo.

Hivyo Mke ana umuhimu wake vivyo hivyo na Wazazi pia.
 
Sawa, turudi kwenye ile picha inatafsiri nini katika maamuzi
 
Hili swali na huu mjadala inaonyesha jinsi busara ilivyokuwa bidhaa adimu kwa wanandoa wengi. Kwangu mimi hakuna aliye muhimu kuliko mwingine. Mke na wazazi wote kila mmoja ana umuhimu wa aina yake. Huwezi kufananisha umuhimu wa mke na umuhimu wa wazazi. Ni vitu viwili ambavyo viko tofauti lakini kila kimoja kina umuhimu wake. Ni kama kuuliza moyo na damu ni kipi ni muhimu kwa mwili wa binadamu.
Sawa, turudi kwenye picha inatafsiri nini katika maamuzi?
 
Back
Top Bottom