kendrick13
Member
- Jul 12, 2015
- 43
- 58
Hapa nlipopanga ni vyumba viwili sebule na jiko, na nje kuna kibaraza mbele ya sebule ambako ni karibu na barabara. Tumekaa hapa takribani miaka miwil bila shida yoyote.
Juzi kati wife ananipigia simu ananambia jirani nyumba ya pili amefungua genge lake na anaweka meza kuuzia chai na vyakula hapa kweny Baraza yetu, bila ruhusa kutoka kwetu au kwa mwenye nyumba, imekua kero sababu ya kelele zlizopo pindi wateja wnapokuja kula hapo na sisi tukiwa ndani sebulen kwetu.
Hapa kodi inaisha mwezi wa 6.
Naombeni ushauri
[emoji117]Nimkataze aondoe izo meza hapo barazani na nimpigie mwenye nyumba
[emoji117]Au nisubir kodi iishe mwez ujao nihame hapa