21 JuLy
Senior Member
- Aug 16, 2014
- 131
- 265
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, kuna muda unafika kwa mwanaume unaona kabisa unaitaji kua na Mke ili kuanzisha Familia.
Inafahamika kila mmoja ana vigezo vya mwanamke amtakayae na hua hazifanani kwa kila mmoja.
Ila kuna hili Janga la kuoa wapenzi wa watu, unakuta mwanake anavigezo vyote na anatakuja kwako kwa factors flan flani (kubwa inakuga ni future ya maisha) lakini moyoni mwake anampenzi wake ambae Ndio furaha yake ya moyo.
Mzee ukiiingia Kwenye huo mtego, Mkeo atacheat tu kwa namna yeyote ile na mpenzi wake hanaga wivu , tena ndio anakua advisor na consultant wa Ndoa yako.
Huku mtaani wake za watu wanaliwa sana na wapenzi wao, akiwa wameomba dharula Kwenye Ndoa zao[emoji23][emoji23]
Tujitahidi kuoa wapenzi wetu, haijalishi utachukua muda gani, Maisha hayanaga kuchelewa.