Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani msaada wa ushauri, Kuna dada nimezaa nae lakini cha ajabu na kushangaza nimekuta kadi za clinic za mtoto mbili, pamoja na ya kwangu jumla tatu! Yaani mtoto yuko na baba watatu, hii...
23 Reactions
208 Replies
11K Views
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana...
6 Reactions
76 Replies
7K Views
Habari za week-end ni mbaya sana wakuu. Kwa kweli nime mualika huyu binti nilie kua na mazoea nae ya muda mrefu gheto ila cha kushangaza amenijia chini kavaa chupi na khanga moja tu. Nimejiuliza...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi nawasalimu! Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Niseme nisiseme! Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya. Huyu...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwenye hoja moja kwa moja. Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Hello JF, 👇👇👇 Mbuzi kagoma ni style ya ufunuo wa mahaba, chonde tusifanye kwa mazoea, kuna mikao mingi kama 20 ya mbuzi kagoma nawasihi jitahidi unapokuwa unanyanduana usikose angalau mikao...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Mwanaume anaejua (kawatch) hii list yote ya movie za huyu mchina jiwe, Donnie Yen mwenyewe lazima ako na true love. Muda wa kucheat huwa hatuna, ni wepesi kuridhika na manzi mmoja. Muda wa kuanza...
6 Reactions
108 Replies
11K Views
Wanaume, -Mwenye kisima hakai foleni kusubiri kuteka maji. -Epuka kuchumbiana au kulala na mama mwenye mtoto wa mwanaume mwingine. -Kutoelewana kwao ni kwa muda. MAANDIKO YANASEMA HIVI...
1 Reactions
8 Replies
668 Views
Hello wana JF! Kama wewe ni mdada na upo Tanga mjini lets connect, weekend ni raskazone na tanga beach kwa story za hapa na pale, kula kushiba usiwaze,
1 Reactions
0 Replies
596 Views
Naomba tupeane location za bata kwa dar Cha msingi kuwe na kila kitu namaanisha kuwe na kila bata Popote tutakula bata Mods kwanini mnafuta uzi kama hapa ni sehemu ya "where we dare to talk...
4 Reactions
9 Replies
970 Views
Nimepigwa tukio na mwana JF... Tukio la kuumiza sana.. Lakini hili tuliache.. Kuna watu wameamka leo wamejawa na msongo wa mawazo kutokana na yanayowakabili, wengine wamefikia mahali pa kukata...
23 Reactions
101 Replies
5K Views
Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana...
29 Reactions
136 Replies
9K Views
Habari za saa hizi wakuu, Hivi hawa wenye wadada wakuitwa Joyce wana matatizo gani🙇? Nilikua na demu anaitwa Joyce alikua ana maringo sana halafu anapenda sana maisha ya juu na pesa sana. Na...
3 Reactions
92 Replies
12K Views
Kumekuwa na tabia ya watu kujibana bana pale wanapokuwa kwenye mahusiano, au kwenye tendo la ndoa; na kupelekea upande mwingine kutokufurahia mahusiano yaliyopo. Na hii inapelekea kuwa na...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Katika ulimwengu huu Kuna vitu ambavyo vinarun Dunia miongoni mwa hivyo vitu ni pesa na mapenzi. Hivi vitu Kwa Kila kiumbe chenye uhai atajihusisha navyo aidha anataka au Hataki. Ukweli ni Kuwa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi kwa sasa naishi mwenyewe baada ya kuzinguana na wife na kila mtu ku-move on. Baada ya muda nikaingia kwenye mahusiano na binti ana miaka 18, mimi yangu 42. Nampenda na anaonyesha...
3 Reactions
88 Replies
11K Views
Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama /...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Heri ya mwaka mpya. Naamini kila mtu anaendelea vyema katika kulijenga taifa, Mimi ni kijana msomi ila najishughulisha na biashara tu binafsi, bado sijaoa. Nimekuwa kwenye mahusiano kadhaa ila...
14 Reactions
397 Replies
37K Views
Back
Top Bottom