Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wananzengo mwaendeleaje? Leo alfajiri nnilikumbuka tukio baya mno naweza kusema, lililotokea maishani mbugani ngoro ngoro ambalo ilikua lichukue kabisa uhai wangu na wamke wangu. Nakumbuka...
8 Reactions
76 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30+, Mhangaikaji na mtulivu na mwenye heshima ya maisha na hela kiujumla, pia wanawake nawapenda na nina waheshimu sana cz...
16 Reactions
105 Replies
24K Views
Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa...
15 Reactions
139 Replies
9K Views
Wale jamaa wahuni sana , nawachukia kiroho mbaya. Nliwahi fikiria hata kuwaroga. Basi tu ila nikiona hata jina lao tu napaliwa na chakula, pumzi inakata nahema kwa shida na macho yanakuwa mekundu...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
Natumaini wazima Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi...
10 Reactions
197 Replies
9K Views
Binadamu tuna asili ya wanyama kiasi flani. Na tabia nyingi za Wanyama zinahusiana na Binadamu. Kiasili suala la kulea watoto ni la Wanawake. Ndiyo. Wanaume kazi yao ni kutia mimba halafu...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
Ni miaka kama minne au mitatu hivi, nilikutana na dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake. Tulijikuta tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu, nilijikuta nimekuwa...
12 Reactions
110 Replies
6K Views
Habari zenu, ni matumain yangu kwamba wote wazima humu. Nimekuwa na maswali mengi sana katika haya maisha, ila yote huwa napata suluhisho. Ila katika hili ndio bado sijapata sululisho sahihi...
6 Reactions
149 Replies
8K Views
Hivi hii sauti ya wife inaashiria nini? Nyie wenzangu mlioowa wanawake wafanya kazi kama mlivyo mnakumbana na kadhia kama hii? Pale ambapo unataka kumuwajibisha wife?
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Hakika usiombe ukawa addicted na masturbation, naam mjumba nilikua napenda sana kupuchua na nilikua nafanya Kama dozi asubuhi, mchana na usiku. Hakuna msanii wa kike ambaye sijapita nae, Beyonce...
34 Reactions
152 Replies
6K Views
Habari za mihangaiko wana jamvi, nakuja kwa kasi ya 4G. Moja kwa moja kunako mada.Tatizo naloliona kwangu ni hili, Kuna baadhi ya watu huwa nikikutana nao nahisi kama wananionea aibu Wake kwa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu jamani. Naomba kuuliza, inawezekana mie nimesahau mafundisho ya shangazi, wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume anaye fokafoka? Maana mimi naona yamenifika hapa! Huyu...
21 Reactions
213 Replies
14K Views
Si rahisi kujua kama mwanamke anataka mrudiane. Hasa pale unapokua humwelewi kwa vitu vinavyotokea. Kutokana na wanaume nliowasaidia kuwarudisha ma ex wao. Wakiachwa wampe muda huyo mwanamke...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Ni wazi kabisa hakupendi bali anampenda mke wake zaidi. Hukufanya wewe kama mdoli wake wa weekend. Hukuona wewe ni nafuu sana kutimiza tamaa zake. Hukupatia vidokezo kama chambo, kisha lodge...
16 Reactions
146 Replies
6K Views
Habari za juma pili Naomba nichukue fursa hii ku-share mkasa mmoja uliomkuta rafiki yangu wa karibu sana kwa jina anaitwa Said. saidi huyu ni mshikaji wangu niliekutana nae chuo na tukawa marafik...
26 Reactions
41 Replies
6K Views
Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua? Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari.. Hivi wanaume wenzangu unawezaje kumnyonya denda (mate) mwanamke anaenuka mdomo? Nawasilisha.
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wadau Nimeona ni shee na nyie ichi kitu cha ajabu nilichokiona ndani ya mwezi ulioisha Kwani sikutegemea kwenye Maisha yangu kama ipo siku atatokea mwanamke Aniambie kuwa Ananipenda na...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Naomba mwenye kujua "format" ya kuandika talaka anifahamishe. Yaani heading yake inakuwaje, unaiadresi kwa nani, na vitu kama hivyo. Sio kwamba mambo yameharibika, la. Napenda kujua tu
0 Reactions
45 Replies
52K Views
Ndio nauliza hili swali maana baba mweusi siku hizi mnaita maji ya kunde na mama mweusi tii wenye mnaita chocolate colour ila katoto keupe pe inawezekana au mmoja kachochora? Kapili keusi tii na...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Back
Top Bottom