Hivi kuna ulazima wa kufanya mapenzi kabla ya kuoana?

Comrade21

JF-Expert Member
Apr 27, 2023
386
557
Habari zenu, ni matumain yangu kwamba wote wazima humu.

Nimekuwa na maswali mengi sana katika haya maisha, ila yote huwa napata suluhisho.

Ila katika hili ndio bado sijapata sululisho sahihi, maana siku hizi ukiingia tu kwenye dating hii kitu lazima watu wapitie yaani (kusex).

Sasa mimi kwa upande wangu sijapata jibu ya kwamba kufanya sex kabla ya kuoana nayo ni moja ya sehemu ya hatua kabla ya kuingia kwenye mahusiano yale kamili yaani mume na mke?

Hapo wakuu kwa upande wenu nyie mnaionaje, maana mimi bado nashindwa kabisa kupata jibu sahihi.
 
Bahati mbaya, nasema bahati mbaya tunakutana na watu wenye uzoefu, yaani wewe una uzoefu na huyo mwenzako ana uzoefu wake.

Mngekutana wote fresh from college wala sio issue, issue ni wengi tuna experience za miaka, msipojaribu utashangaa na kushangaa unapoingia na viatu namba 40 kuna mwenzako alipita na namba 45.
 
Hakuna ulazima ila kwa dunia ya leo kuna haja ya kufanya hivyo.

Unaweza jifanya mnajitunza mpaka ndoa siku ya kukutana mnakuta wote mna ma Abdallah vichwa wazi tena wa uliedhani demu wako ni mkubwa kuliko wako.

Pia kuna kujifanya mnasubiriana kumbe mwenzio keshakitembeza mpaka kimekosa muonekano. Unaingia ndani kwa matarajio ya kukutana na mnato unaambulia kitu kilichopoteza uhalisia kwa kutafunwa na kina kaswende na gono.

Bora utest mitambo mapema ujue kama unaendelea mpaka kuoa au unaishia kutest tu.
 
Back
Top Bottom