Ndio nauliza hili swali maana baba mweusi siku hizi mnaita maji ya kunde na mama mweusi tii wenye mnaita chocolate colour ila katoto keupe pe inawezekana au mmoja kachochora?
Kapili keusi tii na...
Hello,
Mimi ninamiaka 29, nina mtoto mmoja, najishughulisha na ususi.
Natafuta mume kuanzia miaka 30-70, awe na hofu ya Mungu, awe na upendo wa kweli, awe anajishughulisha.
Unajua atrraction inakwenda tofauti kwa wanaume na wanawake. Kwa wanaume tunaangalia kwanza muonekano halafu tunafaata tabia ila kwa wanawake ni vice versa wao huanza kwanza tabia kisha muonekano...
Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.
Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa...
Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.
Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji
Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2...
Kuna watu wanatudanganya kuwa mapenzi pesa lakini siyo kweli. Kuna mwanamke nipo naye kwenye mahusiano, nilimkuta hana simu kubwa nikamnunulia simu kubwa ili kuepusha matatizo ya salio kila siku...
Wadau habarini...
Wanawake, akina mama, wafunzeni watoto wenu maadili mazuri yakula ya kiafrika....achaneni na umagaribi usio natija.
Jana nilikua ugenini maeneo fulani apa jijini Dar...ni...
Ulimwengu wa mapenzi ni mpana sana na umejaa kila aina ya vitu vya ajabu mathalani vinavyovutia kumpenda au kumkubali mwenza
Ni kawaida kuwasikia wenza au wapenzi wakijisemea kuona vitu tofauti...
Wakuu natumai kuwa nyote hamjambo, na jumapili iko poa..
Twende kenye mada,
Wakati fulani huenda ukalazimika kuwa mbali na mpenzi wako labda kwa sababu ya kazi na mambo mengne, ni nani kati ya...
1 MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia...
Mwandishi: Hassan yahaya ( B.Sc )
Contact: hassanmatola508@gmail.com
habari ndugu zangu, awali ya yote napenda nitoe maana ya mapenzi. Mapenzi ni ukaribu unajijenga baina wa watu, wanyama, mtu na...
Habari za mida hii Wana JF mko poa bila shaka. Kiufupi tu nlikuwa mwanachama hai wa chaputa mpka nkaamua kuwa single boy kwa muda mrefu, ila nmeleft kwa nguvu ya maombi lakini mana ushauri na...
Unapoachwa na mtu umpendaye inauma.
Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana.
Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu...
Wakuu!!
Hapa home ninaishi na mdogo wake mke wangu, huyu binti ana miaka kama 22, na ninapoishi kuna nyumba kubwa na mabanda, nazan mnaelewa.
Huyu mdogo wa mkewangu ambae ni wakike yeye nimempa...
Habari ndugu zangu,
Kutokana na kupanda na kushuka kwa thamani ya hela inayotokana na kuyumba kwa uchumi. Je, ni sahihi kumuachi mkeo au mwanamke kuachiwa shilingi 2000 kama matumizi ya siku...
Unakuta msichana mdogo tu kavaa kitenge, kanga, gauni bwanga kama anazuia mimba isionekane, yaan hivyo vyote kavaa kwa pamoja na remba kichwani na yeboyebo au skuna. Ukiuliza unaambiwa ndo vaa...
Habarini,kuna kero kubwa sana kufanya tendo la ndoa na mwanamke mwenye kitambi hasa kwa sisi wanaume ambao hatupendi vitambi yaani hatuvutiwi navyo.
Kuna mashangazi (kama wanavyoitwa) watu wazima...
Napitia kipindi kizito sana ndugu zanguni. Miaka mitano iliyopita nilikutana na binti ambaye niliingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Miezi miwili baadae binti alidai kuwa anahitaji kumbukumbu...
Holidays mjuba NALIA NGWENA huwa napenda kukaa kwenye kahawa na wazee wangu.
Kuna hoja moja iliibuka kuhusu wanawake wa kutoka Tanga, mtwara (wamakonde) na wazaramo.
Kuna mzee mmoja alisema " ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.