Mke: Tusibabaishane kila mtu ana mshahara wake

Mke: Tusibabaishane kila mtu ana mshahara wake

Hivi hii sauti ya wife inaashiria nini? Nyie wenzangu mlioowa wanawake wafanya kazi kama mlivyo mnakumbana na kadhia kama hii? Pale ambapo unataka kumuwajibisha wife?
pole sana ndugu ila muda si mrefu kuna jambo litakupata iangalie sana afya yako ya akili maana kwa sisi wanaume tunapata shida zaidi katika mambo ya mahusiano
 
Back
Top Bottom