Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Badilisha tabia ya umasikini Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini. Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike. Hauwezi kuua umasikini...
2 Reactions
0 Replies
518 Views
Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa...
5 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakuuu kuna demu mmoja namfukuzia kinomaaa yaani demu nimemuweka karibu yangu kila sehemu hadi dadaaake anajaribu kunipigia debe kwa mdogo ake anikubarie lakini dogo amekaza anasema bado...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Habari wana bodi! Naomba suggestion ya majina mbalimbali anayoweza kupema mtoto wa kike wa kihaya pamoja na maana zake! Natanguliza shukrani zangu.
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Wakazi wa Dar es Salaam mnapilika pilika kweli. Embu tujuzeni hiyo asali inatumika vipi kwenye kunyanduana maana manzi anaeza kuja na asali gheto nikaishia kulamba na mkate nikaaibika.
3 Reactions
9 Replies
8K Views
Kama ilivyokuwa kwa familia nyingi za kikwetu inapoanza migogoro ya kindoa haijawahi waacha watoto salama. Nikiwa kinda sana kwenye miaka ya 1995/96 wazee waliingia mtafaruku na kujikuta...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Tunawakumbusha tuu Hali ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ni mbaya.. Vaeni condom
10 Reactions
112 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu? Mimi ni kijana mwenye 29 nimeoa. Sasa Nina mchepuko wangu anataka niishi naye binafsi nimeazimia kuishi naye kisiri bila wife kujua. Je, kwa wazoefu wa mambo hizi inaweza leta...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Umempenda msichana na unamhudumia mara anaanza za kuleta. Kila mkipanga kukutana anakuwa na sababu zisizoisha ila bado akiwa na shida anarudi kwako. Sasa umeamua kuachana naye na una una mtu...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi...
5 Reactions
193 Replies
12K Views
Nimekumbka miaka fulani mtaani kwetu kulizuka tukio la asiyejulikana mmoja kuwa na tabia ya kuvamia mama na dada zetu mtaani hsa majira ya usiku akiwavizia wakat wa kuoga na mavyumbn mwao, baada...
3 Reactions
3 Replies
661 Views
Kama hujamfata kuongea naye. Kama hupeleki mahusiano mbele. Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka. Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa. Zile...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Niende kwenye mada, utimamu wetu kwenye akili na maamuzi binafsi uheshimiwe na uzingatiwe na ulindwe. Kuoa au kuolewa ni hiari na uamuzi binafsi na vinalindwa kikatiba, hivyo basi viongozi waache...
2 Reactions
9 Replies
658 Views
Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee. Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa anakusikikizia mwisho wa siku anakua analalamika njaa, mara hana...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Hii iliwahi kunitokea siku moja nipo chumbani na binti wa kanda ya kaskazini. Mzee mzima nimetangulia kufika Lodge na nikanunua pakti zangu kadhaa za Condom kabla yeye hajafika. Kwakua ilikua...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nlikutana na huyu mmama kwenye biashara zangu akiwa ni mke wa mtu tunaishi nae wilaya moja hapa mjini, akaanza kunizoea na text za hapa na pale mara anitanie wifi anafaidi nikajua lengo lake...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Uzi unakuja... Naomba mjiandae, nataka Kuwafunda kidogo.
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Mbali na utajiri mwanaume alionao bado migogoro ndani ya ndoa haiishi na mingine hupeleke ndoa kuvunjika vipande vipande na mauaji wakati mwingine.. Ila kwa mwanaume wa maisha ya wastani au...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom