Mambo hayakukaa sawa tena baada ya kuniandika hapa JF

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,459
12,584
Ni miaka kama minne au mitatu hivi, nilikutana na dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake.

Tulijikuta tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu, nilijikuta nimekuwa addict wa K yake ingawa likuwa ananikwaza sometime.

Nilikuwa najihisi kuchakata kila wakati na nikawa nafuatana naye kila mara. Alikuwa n maneno Fulani hivi ya kukera lakini mambo yalienda namna hiyo.

Nikatokea kuijua ID yake hap JF nikawa namfuatilia kimtindo, siku ya siku nikakuta ameniandika anaomba ushauri.

Alidai namgonga sana ,mara 3 kwa siku ,akizingua nampiga na kwamba nakula gambe sana, napenda movie za akina igwe na kushinda JF.

Aliniponda sana na wadau wengi walimuunga mkono na wengine kunitetea.
 
Ni miaka kama minne au mitatu hivi,nilikutan n dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake.Tulijikut tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu,nilijikuta nimekuw addict wa K yak ingawa likuwa ananikwaza sometime.Nilikuw najihisi kuchakata kila wakati na nikawa nafuatana naye kila mara.Alikuwa n maneno Fulani hivi ya kukera lakini mambo yalienda namna hiyo.Nikatokea kuijua ID yake hap JF nikawa namfuatilia kimtindo,siku ya siku nikakuta ameniandika anaomba ushauri.Alidai namgong sana ,mara 3 kwa siku ,akizingua nampiga na kwamba nakula gamb sana,napenda movie za akina igwe na kushindwa JF.Aliniponda sana na wasau wengi walimuunga mkono na wengine kunitetea.
Wadau walimshaurije kwenye comments
 
Sasa unataka tukushauri nini?
Yaani hili nalo la kuja kuomba ushauri.
Aisee msijaze server hapa na upumbavu wenu.
Hivi uko serious! Kuna mahali Mimi nimeandika neno ushauri ukiachana na kuomba ushauri? Jaribu kusoma na kuelewa kabla ya kucomment.Mimi siombi chochote,nimekumbuka tu hilo tukio nikacheka halafu nikataka ni reveal tu ukweli kama wafanyavyo CIA. Halafu kama unaona huitaji post basi hujalengwa wewe,nenda unapopataka.USINIPANGIE.
 
Kwani bado upo nae?
Mambo yalivurugika toka wakati huo,nilianza kumchukia kwa tukio lile na aliamua kuondoka ila akataka nihamie huko Sinza nikakataa,nikaamua kumfariji niwe naenda enda ila baadaye nikamkamata anananipiga Sachi usiku niliacha pesa mfuko wa suruali niliyokuwannimetundika kwa hanger,alipoamka na Mimi nikastuka alipogusa suruali nikamuona alipotoa bunda tu,nikamstua na kumuuliza unatafuta Nini? Akajibu ela nikamuacha na yeye akaacha baada ya hapo nikawa siendi.Aliamua baadaye kurudi ingawa nilimwambia sitaki,alikuja akakaa kama mwaka hivi akachemka akaondoka.Baada ya mwaka mwingine nikasikia kazaa mtoto wa nne.
 
Back
Top Bottom