Kuna baadhi ya watu huwa nikikutana nao nahisi kama wananionea aibu Wake kwa waum

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Habari za mihangaiko wana jamvi, nakuja kwa kasi ya 4G.

Moja kwa moja kunako mada.Tatizo naloliona kwangu ni hili,

Kuna baadhi ya watu huwa nikikutana nao nahisi kama wananionea aibu Wake kwa waume sasa huwa nahisi tatizo nini?

Wana jamvi msaada wa kimawazo.
 
Mkuu, Yawezekana una kanyama flani hivi kametokeza usoni labda sikioni, puani au jichoni sasa wenye roho ndogo huogopa kukuangalia. Wenye mioyo migumu ndo wanakuangalia.

Sasa ka una kakasoro hako, usiogope. Lau kama upo sawa ila unavyojionesha kwa watu hukai kidumedume huoni tatizo liko kwako? Badilika tu na watu watakuelewa.
 
Kuna mambo haya mawili
-uwe umezaliwa nalo
-au ujazaliwa nao

Jiulize binafsi hilo tatizo umezaliwa nalo au laah?

Kam utakuwa umezaliwa nalo hilo halitakuwa shida saana, ila kama ujazaliwa nalo kuna mambo haya mawili:-
-uoga kutoka na jinsi unavyo ishi
- uyo mtu kuwa ni strangle kwako

Endapo ikiwa umekutana na mtu mpya kwako hilo halina tatizo saana, ila kama ni uoga hapo jua kuna mambo haya mawili.
......
 
Mkuu, Yawezekana una kanyama flani hivi kametokeza usoni labda sikioni, puani au jichoni sasa wenye roho ndogo huogopa kukuangalia. Wenye mioyo migumu ndo wanakuangalia. Sasa ka una kakasoro hako, usiogope. Lau kama upo sawa ila unavyojionesha kwa watu hukai kidumedume huoni tatizo liko kwako?? Badilika tu na watu watakuelewa.
Au mimi mwenyewe ndo huwa naanza kujishuku jinsi nilivyo wananichukuliaje?
 
Itakuwa unamiliki chura wa haja mkuu, na ndio maana ukikutana na Ke wanakuonea aibu kwa jinsi unavyo lizungusha. Na ukikutana na Me, wanajikuta wanaona aibu wao.
Ebu jichunguze mkuu...
Sifa ya chura sina mkuu
 
H sanny, Labda tatizo ni uoga wangu tu ndo maana nakosa confidance nikutanapo na watu hasa wanawake na mabinti
 
Back
Top Bottom