Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na...
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu. Mali zako ni zake Akili yako ni yake Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako Benki yako ni yake Pumzi yako ni yake Watoto ni...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi bado sijaoa,lakini hupenda kuwauliza watu waliooa na kuolewa hili swali. Cha kushangaza asilimia kubwa ninao wauliza, hunijibu wasinge mchagua mume au mke walienae kwenye ndoa. Na asilimia...
4 Reactions
111 Replies
5K Views
Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake. Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume. Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa. Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania...
11 Reactions
80 Replies
8K Views
Za wakati huu ndugu zangu wa Tz, ni matumaini yangu ulikuwa na week njema kabisa mpaka sasa tunafika weekend, kwa ambao hamjui leo Prince Dube kapiga hat trick huko Chamazi, 😊😊 Leo sina maneno...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu. Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari! Mwezi wa pili alikuja mtoto wa dada yangu kutoka mkoa wa X kuja Dar kutembea. Inavyoonyesha alikuwa na lengo la kuja kukaa kwa ndugu yetu (mama mdogo) ila maza mdogo alichomoa mkeka kwa...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Huyo mdada mreembo kama malaika, PISI KALI 🧚🏻‍♀🧚🏻‍♀🧚🏻‍♀ kama hujui historia yake mmekutana kwenye 1.Daladala 2.Ulimpa lift na chombo chako cha usafiri 3.Amekuambia ni mwanachuo hujui chuo...
22 Reactions
79 Replies
8K Views
guest-1791802738
Nianze kwa kujitambulisha Eeeh Mimi ni kijana wa miaka 28 Nina kil0 93 Naishi dar....Nina Visa vingi katika mahusian0 yangu ya MAPENZI,vingi nishawahi p0st humuhumu... Nip0 katika nd0a mwaka sasa...
18 Reactions
111 Replies
10K Views
you can imagine [emoji116][emoji116][emoji116]. Sent using Jamii Forums mobile app
14 Reactions
43 Replies
4K Views
Nawasalimia kwa pamoja ndungu zangu wana JF. Muda mrefu umepita nimekuwa nikiwaza sana kuhusu jambo hili lililonitokea tarehe 11/9/1990. Kila nikijaribu kumwambia mtu moyo unakataa nahisi kwamba...
32 Reactions
493 Replies
54K Views
Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima? mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
27 Reactions
201 Replies
11K Views
Kakubambikia mimba Kakubambikia mtoto Umeshindwa kuprovide child support Kakushitaki Umefungwa miaka 5 Umetoka Umekwenda partenity court Imethibitika mtoto si wako Naye anakiri anamjua baba wa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii inawahusu wanawake wote walioolewa ambao ni wachoyo wa tendo la ndoa na waume zao. Lady mpe tu haki yake mumeo kila anapohitaji, usimnyime kabisa. Mfanye mumeo asiwe mtu wa kuchelewa...
20 Reactions
133 Replies
9K Views
Nimehamasika kuandika mada hii kutokana na mada ya jamaa anayeomba ushauri kuoa nyumba ambayo baba ni mchawi kisha ni mshirikina. Nyumba yoyote inayoabudu ushirikina na uchawi tambua hiyo ina...
38 Reactions
282 Replies
38K Views
Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom