Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jioni wakuu! Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss. Naomba msipite bila kusema neno hapa, Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya...
14 Reactions
75 Replies
3K Views
Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake...
12 Reactions
76 Replies
6K Views
Salamu tumewaachia Wazanzibar wakesha vibarazani. Aisee kama una mwanamke mwembamba usije kumkorofisha, kwasababu wengi huwa na hasira sana na vinyongo vya hatari! Unaweza kuchukulia poa lakini...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Ukimtumia mpenzi wangu meseji nadhani alikupa namba yake ili umtumie. Ukimpigia nadhani alikupigia kwanza. Ukichill naye nadhani alikuambia utampata wapi. Ninamlaumu mpenzi wangu kwa mazungumzo na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/ mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana. Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu. Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU...
22 Reactions
140 Replies
7K Views
6 secret code Ugomvi mkubwa katika kila mahusiano ni kushindwa kushirikiana, na sababu ni umimi au ubinafsi ambao utachukua mimba na mimba ikiisha kukomaa huzaa Magonvi makubwa na mwisho...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo. (Sio cheating...
13 Reactions
104 Replies
7K Views
Ilikuwa Saa 8 inaenda saa 9 usiku, weekend, nimekaa zangu Getto usingizi sipati nikasema ngoja nitoke niende town. Basi bhana nikaenda club moja hivi inaitwa The Boss ipo Mianzini Mataa (Arusha)...
12 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari Za humu ndani wakuu? Natumaini wote ni wazima wa afya ukiachilia mbali changamoto za kijamii zinazotukabili, kama vile Mgao wa umeme na maji, binadamu tuache ukaidi wa kuharibu vyanzo vya...
38 Reactions
177 Replies
19K Views
Habari za humu wanaForum, Kwanza kabisa nitoe pole kwa watanzania wote katika msiba huu mzito wa rais wetu mstaafu Benjamin WIlliama Mkapa. Niende moja kwa moja katika suala langu labda nitapata...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Juzi tu nimetoka tabora Ni baada ya kitambo kirefu Nimekuta tabora imebadilika Katika sehemu zote nyingi za starehe Terrace lounge imekaa uzuri sana Pale ni pazuri na pana hadhi nzuri Kuna...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Ni swalii ambalo nimekuwa najiuliza mara nyingi na limekuwa likitokea sana wale wanawake ambao unakuwa unanipa ya dhatii na mna mahusiano muda mrefu HATUWAOI na unakuwa KUOA watu tusiotarajia...
16 Reactions
126 Replies
8K Views
Kisa cha kweli nilikuwa na mpenzi ambae kwa tulipenda sana kwa jina lake letina cosmatiko mtoto huyu kaumbia pia mzuri mimi ashampoo huwa napenda mataka mtoto alikuwa nayo nilikutana posta huko...
16 Reactions
91 Replies
6K Views
Ilikuwa siku ya jumaa tatu asubui nipo mbezi stend nikiwa nimewasindikiza ndugu kusafiri baada yausiku wajana kumalizika harusi yamdogo angu' Baada yakuakikisha kuwa wamesafiri namimi nikasema...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Habariini za Muda Huu! ( MFANO MIMI.....) Bwana Mimii Nina Ex Zangu Watatu MMOJA TULIDUMU MIAKA MITATU MWINGINE MINNE NA MWINGINE SITA Ambao Kiukweli Niliwahi Kuwaumiza Sana! Lakini...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, mambo vipi? Moja kwa moja kwenye mada. Juzi kati nikiwa katika harakati zangu za kuzunguka sana mikoani kuuza maneno (marketing) kulingana na nature ya kazi nayofanya ili mradi...
48 Reactions
76 Replies
7K Views
Habari za jioni wana jf, Kwa Takribani muda fulani sasa nimekua nikiona hii changamoto tunayoipata vijana wengi wa kitanzania. Hii changamoto ni pale tunapotafuta mtu mpya wa kuwa nae katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na...
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom