Mwanamke anachotaka..

Mwanamke anachotaka..

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,392
Reaction score
88,549
Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu.
Mali zako ni zake
Akili yako ni yake
Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako
Benki yako ni yake
Pumzi yako ni yake
Watoto ni wake/ukiwa mbishi atawapeleka kwa baba zake..😂
Uhai wako ni wake
Ulie juu yake
Wazazi wako ni wakwake
.
.
.

Ktk historia nafikiri Kuna mahali tuliyakanyaga..😂😅
 
9D09C5E8-0885-415D-894C-11C1907B570E.jpeg
 
Mwanaume asichokitaka
1.Kulipa mahari ilihali abolishment of slave trade and human trafficking ilifanyika miaka 150 ikiyopita. Wengi watasema mahari ni zawadi lakini Ni zawadi gani mtu unapangiwa kiwango cha kutoa?

2. Uswa wa Kijinsia wakati mtu anakutegemea kwa chakula, mavazi, malazi, matibabu na hata kwao

3. Kuopandwa kihwani
 
Bila mahari watakosa thamani
 
Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu.
Mali zako ni zake
Akili yako ni yake
Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako
Benki yako ni yake
Pumzi yako ni yake
Watoto ni wake/ukiwa mbishi atawapeleka kwa baba zake..😂
Uhai wako ni wake
Ulie juu yake
Wazazi wako ni wakwake
.
.
.

Ktk historia nafikiri Kuna mahali tuliyakanyaga..😂😅
Tutashindwa apostle
 
Ila Hawa viumbe 🙌wachoyo,wabinafsi sana kwenye kila kitu

Hata papuchi kutupatia Hadi mmbembelezane😅

Mtupeeeeee
 
1.Kulipa mahari ilihali abolishment of slave trade and human trafficking ilifanyika miaka 150 ikiyopita. Wengi watasema mahari ni zawadi lakini Ni zawadi gani mtu unapangiwa kiwango cha kutoa?

2. Uswa wa Kijinsia wakati mtu anakutegemea kwa chakula, mavazi, malazi, matibabu na hata kwao
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😅
kamata Novida hapo ya baridi kabisa
 
Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu.
Mali zako ni zake
Akili yako ni yake
Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako
Benki yako ni yake
Pumzi yako ni yake
Watoto ni wake/ukiwa mbishi atawapeleka kwa baba zake..😂
Uhai wako ni wake
Ulie juu yake
Wazazi wako ni wakwake
.
.
.

Ktk historia nafikiri Kuna mahali tuliyakanyaga..😂😅
Hivo ni vitu ambavyo nice guys wanachofanya na wanachapiwa hatari sana.
Tafuta Mamlaka.
Tafuta hela.
Mjue sana Mungu maana sikuhizi wadada wanatumia ushirikina Ili kumfanya mwanaume kuwa zezeta, nimeshuhudia kwa ndugu mmoja hivi wa kike akimfanyia mumewe.
 
🙄
 
Mwanaume asichokitaka
1.Kulipa mahari ilihali abolishment of slave trade and human trafficking ilifanyika miaka 150 ikiyopita. Wengi watasema mahari ni zawadi lakini Ni zawadi gani mtu unapangiwa kiwango cha kutoa?

2. Uswa wa Kijinsia wakati mtu anakutegemea kwa chakula, mavazi, malazi, matibabu na hata kwao

3. Kuopandwa kihwani
Define KUPANDWA KICHWANI

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uumpende,usijiweze juu yake uumpe raha,umsikilize yeye tu.
Mali zako ni zake
Akili yako ni yake
Ndugu zako ni wako ila ndugu zake ni wake na wako
Benki yako ni yake
Pumzi yako ni yake
Watoto ni wake/ukiwa mbishi atawapeleka kwa baba zake..😂
Uhai wako ni wake
Ulie juu yake
Wazazi wako ni wakwake
.
.
.

Ktk historia nafikiri Kuna mahali tuliyakanyaga..😂😅
Jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
 
Back
Top Bottom