Hivi inapotokea wanandoa mmegombana na mwanamke akahama chumba akawa analala na watoto hataki kurudi kila ukimbembeleza.
Rafiki yangu kaniomba ushauri nimsaidie njia ya kufanya nikaona nije...
Nipo Dar kimakazi na umri wangu miaka 54. Nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye kujielewa kimaisha na awe mkweli na mwaminifu, umri usiozidi miaka 50.
Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0784371889...
Karibuni kwa siku kuu ndugu zangu..
Wanawake wanao wajibu wanaume vibaya pindi wanapo tongozwa mwisho wao huwa mbaya sana na wengine wanaishilia kuwa single mama. Amini na waambieni
Unakuta...
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy alimbaka msichana mmoja kisha akamwambia "ni sawa, nimefanya ngono na wanawake 10,000", mahakama imeambiwa.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28...
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA
Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa.
Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu...
Moja kwa moja kwenye mada...
Baada ya kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na wanawake tofauti tofauti sasa naamua kuoa nitulie zangu nikiusubiri uzee hapo baadaye, lakini inapokuja swala la...
Huwa unamchukuliaje mpenzi wako anapokuambia tutasex baada ya kufunga ndoa/kuoana? Hivi jambo hilo lina faida yoyote?
Jamaa yangu ananilalamika kila siku anadai mpenzi wake anakataa kutoa mali...
Wakuu habari,
Kwenye kukua kwangu nmekutana na baadhi ya vitu ambavyo ni 'unique' (upekee) tofauti na ilivyozoeleka. Kuna hili la baadhi ya wanaume kuvaa pete kwenye kidole gumba cha mkono (Ring...
"Huyu kaka tulifahamiana tangu nilipokuwa form three, tulikuwa na ukaribu tu wa kawaida hatukuwa na mahusiano yoyote kwa kipndi hicho, lakini siku zilivyozidi kwenda nilianza kumpenda kutokana na...
Ndugu habari
Direct kwenye mada, ndugu zangu kuna kijana naishi naye karibu sasa ni mwaka mmoja.
Ilikuwa hivi nilipohamia huku vijijini baada ya kuletwa huku kutokana na makosa ya ulevi...
Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime...
NALIA NGWENA huwa nachoshwa sana na hii kauli ya kwenda kufikiria na unakuta kipindi anakufikiria vocha, bills za umeme na mengineyo anakupiga vizinga.
Kama mna kwenda kufikiria kwa Nini mnaomba...
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha...
Hii tabia ya mume na mke kuishi chumba kimoja inachangia sana migogoro kwenye ndoa.
Kujambiana 24/7/52 sio mchezo. Ndo maana michepuko mapenzi yanakuwa matamu.
Kutokana na uzoefu kama Mungu...
Kuandika ujumbe ndefu si kawaida yangu kwa huyu mtarajiwa wangu. vijana haya mambo si ya kupuuza hata kama unaongea nae kila siku lakini jumbe kama hizi anakuwa nazo na atarudia kusoma mara kwa...
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya...
Kuna Mambo mengi ambayo wanawake hufanya, kupendeza wachumba /wapenzi wao ili kupendwa zaidi. Baadhi yao hata hupotezwa na mapenzi wanapotia juhudi ili kuhakikisha kuwa amekaa. Lakini sio lazima...
Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo?
Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa...
Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana.
Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama...
Heri ya sikukuu tukufu ya Eid el Fitr dugu zetu Waislamu.
Salamu pia WanaJF wengine wote.
Asububi hii nimeamua niamke na hivi vibinti na akina dada wa hapa Dar es Salaam.
Jueni kwamba sisi...