Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 675
- 617
Nikiwa naelekea kula usiku huu wa sa 1,ghafla ikanipita gari aina ya V8 mpya hivi ikielekea njia ya hostel, muda narudi nikashuhudia yule msichana white mkali akifungua mlango wa V8 na kuingia ndani, kuchungulia kwa mbali nikaona mtoto akiliwa denda kali kisha gari likigeuza na kuelekea njia ya town morogoro daaa,,,dada zetu hawa wanamgodi nimeamini.