Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, umasikini unatisha bhana. Nimechoka nimechoka nimechoka, naitaji mwenye kujua connection ya mganga wa kienyeji anayetoa ndagu za utajiri anisaidie.
10 Reactions
61 Replies
1K Views
Habari wana jamii. Nimeanza na hilo swali kwasababu ya kisa ambacho nahitaji kumpa mtu ushauri Je, upi ni mtizamo wako kuhusu ndoa? 1. Uoe au uolewe kwaajili ya kupenda/kupendwa au 2. Uoe au...
2 Reactions
16 Replies
204 Views
Wanaume wengi wanaweza kuona kabisa mwanamke waliye naye hawatoboi lakini wanaweza kumng'ang'ania tu kwa sababu ya makalio, rangi au uzuri wake bila hata huyo mwanamke kuwa na mchango wowote wa...
7 Reactions
11 Replies
314 Views
Fetish inamaana gani? Neno "Fetish" (kwa Kiswahili wakati mwingine huitwa Fetihi) katika muktadha wa mapenzi na mahusiano lina maana ya kuvutiwa kingono na kitu, tabia, au sehemu fulani ya mwili...
13 Reactions
57 Replies
873 Views
Furaha ni hisia inayojengwa na vitu vitatu kiroho,kimwili na kijamii. Kwa leo nitaeleza ni jinsi gani unaweza kurudisha furaha iliyopotea kwa kuzingatia mlo kamili na mazoezi. Hii itakusaidia...
6 Reactions
12 Replies
215 Views
Kuna madhara unayoweza kuyapata katika mwili wako kama hauta weza kuoga baada ya kufanya mapenzi. Baada ya tendo watu wengi upendelea kupata mda wa kupumzika kwa muda kiasi kutokana na kauchovu...
1 Reactions
9 Replies
205 Views
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa...
12 Reactions
64 Replies
780 Views
Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa Kila mtu afe na tamaa zake.
2 Reactions
10 Replies
192 Views
Heshima kwenu nyote. mods Ppz usiuunganishe huu uzi Hivi karibuni niliwahi kuanzisha uzi hapa, na kwa wale ambao hawajauona nawashauri waupitie Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza...
13 Reactions
281 Replies
6K Views
Kwa wengi wetu mahusiano ya kwanza kuyaona na kuyaishi ni yale ya wazazi wetu. Je, ukipewa mwenza ambaye anafanana kitabia, kiakili, kiuchumi n.k na mzazi wako utafurahi? Kama jibu ni ndiyo...
13 Reactions
120 Replies
1K Views
Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika. Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki. Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika...
25 Reactions
169 Replies
2K Views
Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza. Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada...
19 Reactions
95 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto...
7 Reactions
45 Replies
1K Views
Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa 😀😀😀💔🙌 Call it love.
8 Reactions
245 Replies
2K Views
Mughonile bhandu ba kyala Kwanza kabisa niungane na Mbunge baba levo kuwa Kuna kampeni ya kumgeuza mwanaume kuwa adui wa jamii kwenye suala la ndoa nikama vile lawama zote zinabebwa na...
1 Reactions
8 Replies
111 Views
guest-1787677255
Video inajieleza. Uzi tayari.
3 Reactions
9 Replies
266 Views
Wakuu ccm haipo ila ilichokifanya kwa miaka mingi ni kuingza makada kwenye taasisi zote za serikali ambao ndo wanatumika kulinda harufu ya ccm fatilieni watendaji, polisi, wafanyakaz halmashauri...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Kuichapa asubuhi, ni muhimu na ni nzuri kiafya. Hakuitaji maandalizi kwani mbususu inakuwa imejaa mafuta ya kutosha hivo ni mwendo wa kuteleza tu. Kabla ya kuanza hakikisha kwanza unampigisha...
5 Reactions
13 Replies
285 Views
Siku zako na huyo mwanamke ambae haumpi pesa zinahesabika chukua tahadhari. Usije kulia kilio cha mbwa mdomo wazi Husipeleke maua tia hela
14 Reactions
67 Replies
830 Views
Back
Top Bottom