Umri wako kwanza brooHabari ndiyo hiyo, usichepuke kulinda heshima ya ndoa yako.
Et na wewe unakubaliana nae mleta UziKila la kheri
Ndio yupo sahihi kwa mtazamo wakeEt na wewe unakubaliana nae mleta Uzi
Naunga mkono hojaMwanaume kuwa na mchepuko sio ku-cheat.
Hao ni masuria
Inamaanisha Nini?Kuchepuka haimaanishi hatuwapendi mkuu!!!