Hili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana.
Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata...
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanashiriki kupoteza ufahamu wa kimwili au akili wapenzi wao kupitia waganga wa kienyeji. Wanawake wamekuwa wepesi sana kwenda kwa waganga...
Kuna wanaume wana tabia ya kusomesha wanawake/vibinti ambao hawajawaoa, kwa kuwalipia ada ya shule au chuo na gharama za makazi/malazi.
Yani ukisikia kuchambia sime ndo hii
Wana jamvi kama title inavyojieleza, karibuni jukwaani tujumuike kwa story za hapa na pale.
Kufungulia jukwaa naomba nianze na swali kwenu, hivi kwanini siku hizi warembo wengi wanaosoma vyuo...
Hello,
Unafanya nini ukiyakinai Mapenzi?
Kiukweli kuna majukumu yakibana mapenzi yanakuwa sio kipaumbele tena.
Yaani mama wa mjengo akikupa unachomeka tu no romance, no sweet sms like first...
Nipo na baalia wangu hapa tunapata vyombo Kwa baa ya Juliana🔥
Ananipa Stori kuwa amempata mrembo mmoja anaitwa Manka😂😂😂
Nikampongeza maana jamaa amekaa muda mrefu (Miaka 2) bila kuwa na demu...
Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua...
CHAPTER 1
" I can't believe that Mark married that fatty bitch .. how could he?!, after all that we've been thru he chose her!?
That sun of a bit, huku anagonga meza, kwanza
Mwanamke mwenyewe...
Kwa kweli hawa watu inabidi tuwape tu maua yao ikibidi hata sanamu wachongewe tu! Imagine majukumu wanayobeba:
Kutunza kiumbe tumboni
Kulea familia (watoto na baba yao)
Kuweka sawa mazingira ya...
nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi
nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu...
Me bado nashangaa 🙄
Demu unatumiwa SMS au unapigiwa na namba ambayo huijui na mwanaume,
Anakueleza shida yake kuwa amekupenda, alikuona mahali, amekufuatilia mpaka amepata namba yako ya simu...
"Ukiona unatongozwa Sana ujue wewe NI rahisi, cheap
Wazuri hawatongozwi ovyo au Kila mara, Kwanza hawapatikani jitahidi na ukiwapata hawatongozeki"
Sio maneno yangu ni ya Dr Mwaka, msikilize kwa...
Jana usiku, a bunch of single friends of mine gathered at home, aged 32 - 35!
Wakawa wanalalamika, sikuhizi hamna wanaume kabisa, wamekuwa single for 3 yrs, na inawaumiza sana
Friend 1: MP...
Siku za hivi karibuni nilikuwa naongea na dada yangu mmoja anasema anajuta sana kwa sababu mpenzi wake wa zamani amepata ajira ya ualimu shule za serikali.
Dada anasema alifikiria kuwa kwanini...
Sipunguzi neno,oneni Sasa jinsi wanavyotunyonya 😁😁
Kwa mujibu wa utafiti wa Finscope mwaka 2023 uliofanywa na Wizara ya Fedha unaonyesha kuwa wanawake Tanzania waliofikisha umri wa kufanya kazi...
Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku
Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓...
I know, it has been a minute
Bado nimekuta maswali mengi inbox after been gone for 3 years
Sasa kuna MTU kakwama anaomba atolewe shimoni;
MTU: da penny, nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.