Hellow, Soul Mate Uko huku JF Au?! ...

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,338
2,000
Jana usiku, a bunch of single friends of mine gathered at home, aged 32 - 35!

Wakawa wanalalamika, sikuhizi hamna wanaume kabisa, wamekuwa single for 3 yrs, na inawaumiza sana

Friend 1: MP jaman nimechoka kuwa single, yani God knows! Nimechoka kutombwa na waume za watu, nimechoka kutombwa na mabwana za watu, nimechoka nimechoka nimechoookaaa!

Nimejua juzi kati kuwa nimechoka ni pale ambapo nilikuwa na birthday, nikajikuta nipo all alone, single, lonely, nikaamua kujitoa out kule Oysterbay (Hamu Restaurant) for a birthday dinner, nikawa nakula mwenyewe, watu wanapita wananishangaa, dah noma sana, nika wish ningekuwa na mwanaume anaenipenda enuf to wish me a happy birthday lakini hamnaaa!

Watu wananiambia ofsini kuwa nitapata tuuu, nitapata my soulmate, lakini tangu waongee sasa huu ni mwaka wa 3 sijaonana na huyo soulmate.

Ivi kwanza soulmate ni nani?! Na kwanza It feels weird anyway, kwanini nimsubirie mtu ambae ni soul mate wangu? Yani ni kama mfungwa jela anasubiria uhuru wake, au kama mtu amechukua funguo ya maisha yangu na furaha na kukimbia nayo, this is bull shit, it sounds like u free mason sasa
Soulmate or not am just tired

Friend 2: me siamini kuhusu soulmate, me nakuchua wanaume na have fun nao, napewa mechi nnavyotakaaa and am happy, show inakwisha, mambo ya kuanza kuwa depressed hata staki kuskia, maisha mafupi nianze kujipinda nawaza soulmate atakuja lini sijui Mume yupo wapi?! nyooo! Enjoy life while u can dear friend 1 usijiwekee maswali utakufaaa

Friend 3: ontop of that, jamii inatuchukulia sisi single women aged 32-35 as sad and pathetic ones, i hate that judgmental look nayopata kwa society hata married people, marafiki walioolewa, wanaogopa ku mingle na singles wakihisi utawaibia waume zao, no offence Money Penny sikuongelei wewe

Money Penny: none taken Darling!

Basi Nikawaza, ina maana mtaani kuna wanawake single kibao kuliko wanaume?! What would Jesus Doooo, maana yeye ndio kasema Mume mwema anatoka kwake!

Nyie ma soulmate mpo wapi?! Kama mpo huku JF naomba mje inbox niwaconnect, rafkiangu zangu wasiteseke!
Ahahahaha

 

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,352
2,000
money...mimi me ninashangazwa na hao madada wanaringa ajabu ukiwagusia kitu ndoa wanasemaga wana watu wao mara mchumba qnakaribia kutambulishwa.

Nakua mpole lakini miaka nenda rudi wapo tu; jamani wadada kueni wawazi dunia ya sasa amna atakaye kuambia unajirahisisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom