Kutongozwa sana hakukufanyi wewe kuwa mzuri, wazuri hawatongozwi

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
"Ukiona unatongozwa Sana ujue wewe NI rahisi, cheap

Wazuri hawatongozwi ovyo au Kila mara, Kwanza hawapatikani jitahidi na ukiwapata hawatongozeki"

Sio maneno yangu ni ya Dr Mwaka, msikilize kwa video πŸ‘‡πŸ™†πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Kuna ka ukweli. Japo kuna uzuri wa aina mbili. Kuna mzuri wa tabia na mzuri wa fahari ya macho tu.
 
Basi tufanye hivi kuna wazuri ambao ni cheap na wazuri ambao ni expensive.
Uzuri wa mwanamke utasimama palepale ila utatofautiana gharama tu!
Na sisi me ndo tunajua uzuri wa ke mengine nyongeza tu..
 
Basi tufanye hivi kuna wazuri ambao ni cheap na wazuri ambao ni expensive.
Uzuri wa mwanamke utasimama palepale ila utatofautiana gharama tu!
Na sisi me ndo tunajua uzuri wa ke mengine nyongeza tu..
Kweli ee?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom