huskryderz
Member
- Dec 23, 2011
- 27
- 27
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanashiriki kupoteza ufahamu wa kimwili au akili wapenzi wao kupitia waganga wa kienyeji. Wanawake wamekuwa wepesi sana kwenda kwa waganga wa kienyeji kutaka kuroga wanaume wao ili waweze kuvuna mali
Au kumfanya mume au mpenzi wake asiwe na akili ya kuchanganua mambo na kufanya kila anachoongea mwanamke kiwe kinasikilizwa sana kama anapokuwa anahitaji fedha au kitu chochote kutoka kwa mpenzi wake.
Unahisi kwanini wanawake wamekuwa wepesi au roho ya kishetani hivyo na kushindwa kuonesha upendo wa dhati kwa wapenzi wao ili wapendwe kiuhalisia?