Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mweupe wa asili, mweupe hana madoa doa ya kujichubua. Ngozi laini,Mwenye hips.... Aaaargh. Nakuwa hoi. Hawa ndo huwa wananichuna sana. Yaani mi hoi nikimwona mwanamke wa hivi. Nalegea...
10 Reactions
109 Replies
5K Views
Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week...
32 Reactions
82 Replies
10K Views
Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za...
22 Reactions
57 Replies
4K Views
Habarini wana JF, Kutokana na maisha kwenda kasi hatuna budi kuwa na ubavu wa kushoto wa kusaidiana maisha ya hapa na pale. Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi: Awe na umri 28-32. Asiwe na mtoto...
0 Reactions
6 Replies
832 Views
Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Naomba ushauri umsaidie jirani yang Jirani yangu kapanga nyumba Moja na rafiki yake, jamaa kaoa ila rafiki chumba cha jirani wife yupo mbali, jirani huyu yupo na ukaribu na...
14 Reactions
118 Replies
9K Views
“Wengi hawazingatii wajibu wao, kila mmoja hajui anatakiwa afanye nini, au tupeane mitihani kabla ya kuingia kwenye ndoa? “Mtu anaweza kuwa na vyeti vingi vya elimu lakini hajui wajibu wake wa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Huongeza upendo(love), Huchangamsha mwili, Huongeza ufanisi kazini, Unasafisha mikosi na mabalaa Na mengineyo. Vijana tule vyumaa....
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba...
22 Reactions
68 Replies
6K Views
Bila ya kupoteza muda! Binti uliyetoa maombi leo katika Parokia ya kanisa katoliki Buswelu, Mwanza, Misa ya pili, nakiri kusema umenikosha Moyo. Sauti yako tamu kama Malaika wakiimba nyimbo za...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii inawakuta wanaume wengi. Hata mimi ilishawahi nipata kabla. Lakini ni muhimu kutambua thamani yako. Na unastahili upendo na furaha. Ubaya wa kumng'ang'ania asiye kutaka ni kukosa kuwa...
24 Reactions
24 Replies
4K Views
Utafiti uliofanywa na shirika la Uganda Christian Network Aid katika eneo la Africa mashariki limetoa matokeo ya utafiti wao kwamba 70% ya wanandoa ya Kikristu huzini ukilinganisha na 10% ya...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya...
3 Reactions
70 Replies
2K Views
Karma is bitch. Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu...
19 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakati tunapambana na mfumuko wa bei kumbe sikujua hata condom nazo zimepanda bei juzi wakati nipo safari usiku ule nilivyofika bar moja nimekunywa wakati naondoka zangu kulikuwa kuna mrembo...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wana FF. Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years. Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Nanukuu; "Nimedumu na huyu mwanamke kwa muda wa miaka 3 na tumefanikiwa kupata mtoto 1, kutokana na tabia zake mbaya za muda mrefu nilivunga kutopeleka mahari kwao licha ya kuwa walishanipangia...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza, natafuta mwanamke aliezalishwa tayari (singe mother) niwe nae katika mahusiano na kama Mungu akipenda NDOA itafuata Zingatia vigezo ( awe ana mtoto...
6 Reactions
9 Replies
732 Views
10 Simple Ways to Keep Your Relationship Strong and Healthy MARCH 20, 2023 Share It is no secret that it takes more than just love to keep a marriage strong and healthy. Obviously strong feelings...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jambo Jambo? Nashangaa wanaume wenzangu ambao wameoa na wale ambao hawajaoa kuwa na tabia za ajabu pale ambapo anakuwa anampatia pesa ya matumizi ya aina yoyote na ikatokea kuna chenji basi huwa...
2 Reactions
17 Replies
754 Views
Back
Top Bottom