Mapenzi yanakinaisha

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Hello,

Unafanya nini ukiyakinai Mapenzi?

Kiukweli kuna majukumu yakibana mapenzi yanakuwa sio kipaumbele tena.

Yaani mama wa mjengo akikupa unachomeka tu no romance, no sweet sms like first date.

Ukimwaga Umelala.

Imekaaje hii wajuzi?

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom