Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
SIFA -----Awe mkristo ikiwezekana awe msabato . Awe ana kazi Asiwe alie jichubua . Asiwe mlevi. Awe mkarimu . Anipende. Awe na umri usiozidi miaka 28 naasipungue 25. Awe mnene kiasi. 0658051775...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume naishi kahama shinyanga mwenye miaka 39 mi mweusi sio sana ni mlefu wastan tu sio mnene wala mwembamba dini yangu mwislam situmii kilevi chochote Natafuta mwanamke wa kuishi nae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sometimes life huwa linakwenda vile ambavo hatutarajii but one of the biggest strength of human being lies on is friendship, ndo maana kila unapokwenda unajitahidi kupata rafiki hata kama ni mgeni...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari za wakati,husika na kichwa hapo juu,natafuta mwanamke ili awe mpenzi,awe anaishi dar,awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 32 na kuendelea......Mimi Nina miaka 26 ninafanya kazi na najiweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa wa jf ,jina naitwa cirmick naishi morogoro, umri wangu ni miaka 30-40,elimu yangu ninashahada ya kwanza,dini mkristu,mzaliwa wa hapahapa Tanzania,kazi nimeajiriwa, Mke...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari natafuta mke wakuoa awe na vigezo vifuatavyo 1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea, 2: Awe anajitambua na creative kutafuta pesa. 3: Awe tayari kuishi nje ya nchi...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Closed
Hellow warembo wangu wote wa Jf wakubwa kwa wadogo habari zenu..,natumai mu wazima wa afya,ni hivii.. MCHUMBA NA HATIMAYE MKE ANAHITAJIKA.. (01). mimi ni kijana 24yrs ,living in dar es salaam...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Niliachana na mke miezi sita iliyopita kutokana na mke kutokuwa mwaminifu na kuchepuka mara kadhaa. Nina watoto Wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja. Wote wanasoma shule ya Msingi. Mimi ni...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Mimi ni kijana above 35 mwenye elimu ya vyuo nina shughuli zangu halali za kuniingizia kipato cha kusustain maisha ya familia. Mwanamke ninaemtaka awe above 25 to 35 no problem. awe na elimu kiasi...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
WanaJf amani iwe kwenu, Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu. Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa. Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamii? Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: 1.Nina 34yrs. 2.Maji ya kunde. 3.Kimo ni wastani(mrefu kiasi). 4.Mwembamba(sio sana ni mwili wa mazoezi). 5.Nimesoma hadi darasa la...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Mimi sio mgeni huku na nakiri kuwa hii ni ID yangu ya pili. Umri na wakati wa kuoa umefika na naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mwenza ikiwezekana mapema mwakani tufunge ndoa. Sifa zangu ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nipo Arusha natafuta mpenzi serious na mwenye kujielewa. Awe Mkazi Arusha na hana mtoto. Aliyeko serious ani text kwa 0784 693295Kama ni ke basi cheki PM yako. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari.. Mimi ni kijana, 31yrs, slim, tall, Niko capital city. Self-employed, najimudu. Nahitaji mwanamke, preferably 38 -44yrs hivi, anayejiweza financially (NB: not to take care of me)...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, unapotafuta mpenzi weka walau hata mwili tu tuone, endapo utaona kuweka sura ni shida. kwa wadada jitahidi kuweka hata shape tu, hili linaweza ongeza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani. Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani. Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila...
25 Reactions
125 Replies
16K Views
Mimi ni kijana 28 yrs. Naishi dsm. Nimeajiriwa pia ninamishe zangu nyingine. Ni mkristo. Natafuta rafiki wa kike kisha aje kuwa mchumba hadi mke. Umri 21-27 ikiwa dsm au karibu na dsm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wimbi la wake za watu kujirahisisha kwa wanaume nashindwa kufahamu nini tatizo au ndio wanajutia ndoa wanaamua kuja kutafuta faraja nje ya ndoa au ni umalaya maana wengine wanatimiziwa kila...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom