Uwe mchangamfu
Uwe na akili ya maisha,namaanisha mfano hata kama sio msomi wa degree unaweza piga mission unapata hela.
Ujue kutafuta hela
Ujipende.uwe smart kimuonekano na kiakili
Uwe na upendo...
naitwa jurnia from moshi
nina miaka 26
natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
umri : miaka 18-24
elimu ; kiwango chochote
rangi: yoyote bt asiwee mweusiii tiiiiii tiiiiii
umbo: napenda mweny umbo...
Habar zenu wakuu
Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga
Nilikua napata tafakar kuhusu...
Epuka kujifikiria mara mbili mbili ndugu... Usione huruma wanawake wanabadilika kama kinyonga...Roho ikikuambia acha, piga chini nakuambia piga chini faster hakuna kuremba.
Kuna manzi ilibidi...
-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida...
Habari za usiku wakuu...poleni na majukumu ya mchana kutwa.
Nielekee direct kwenye hoja yangu! Nimewahi kuona ama kupitia nyuzi nyingi za wadada wanaodai kutafuta waume wa kuwaoa ( wengi wao...
Habarini wakuu.......
Hawa mawifi wa dada yangu wanaona kama dada yangu anafaidi sana mali za kaka Yao
Nyuma ya pazia dada yangu alichukua mkopo wakakubaliana kama familia wafanye biashara na mme...
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 35, msomi mzuri.natafuta mchumba wa kuoa,awe ni muislam kwa dini na mwenye kuheshimu dini. awe mrefu na mweupe.umri usiozidi miaka 30.
Kwa maelezo zaidi...
Habari gani wadau wa nguvu,siku za nyuma nili post thread ya kutafuta mwenza.
Katika ile post nili toa vigezo vya mtu ambaye naitaji kuwa naye.
Kuanzia siku ile madada wengi walijitokeza wengi...
I'll lay out the reasons and you decide for yourself which is better.
Being Married:
1. It's a partnership and a life time commitment.
2.Everything you want to do has to be discussed and agreed...
Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto...
Nahitaji mwanamke atakayekuwa tayari kuzaa mtoto/watoto
Nimeoa, akitaka kuwa mke wa pili haina shida. Au anaweza kuamua kuwa free, mtoto nitampa huduma na Upendo wa baba Kama inavyotakiwa.
Huduma...
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM
This is serious
Natafuta rafiki tutakaeweza badilishana mawazo kuhusu maisha, have fun together and all other stuffs.
Age awe 25 na kuendelea.
Karibuni PM (kwa walio serious tu).
Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto
Sifa za MWanaume
awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda...
Kuabstain ndo njia pekee salama ya kujiepusha na UKIMWI na virusi vyake, pamoja na magonjwa mengine. Ewe kijana wa kike na wa kiume ambaye hujaoa au kuolewa; majuto ni mjukuu. Usicheze na maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.