Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu. Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu. Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina...
17 Reactions
169 Replies
28K Views
Habari!! MIMI NI MWANAUME WA MAKAMO. NAISHI DAR ES SALAAM. UMRI WANGU,NAKARIBIA MIAKA 50. NINA UREFU WA FUTI 5 NA INCHI 7(SM 170). MAJI YA KUNDE. MWEMBAMBA. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello wadau. Husika na Habari hapo juu Natafuta mwanamke anayejielewa -Awe angalau Maji ya kunde au mweupe WA asili no mkorogo -Mrefu kiasi tuu, asiwe mfupi sana, maana mimi ni mrefu kiasi -Akiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitwa Joseph naishi na VVU nna miaka 32, naishi Mbeya ni mfanyabiashara, mkristo na mcha Mungu elimu yangu diploma na sina mtoto. Natafuta msichana mkristo miaka 24-28 mkristo na mcha Mungu...
3 Reactions
21 Replies
50K Views
Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Natamani kupata mdada umri (18+ Sifa. Uwe single Usiwe na HIV Mwenye malengo Uwe umemaliza form four + Rangi yeyote Urefu wowote Uwe na pesa au hauna haijalishi Uwe unapenda kugegedana Mcheshi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nini shida jaman nimpendaye ananizingua balaa, niko serious kumuoa lakin majanga tuu. anayenipenda hata simzimii kabisa.
3 Reactions
38 Replies
3K Views
I am goodlooking professional guy in his early twenties, I am looking for a openminded lady in dsm to have a discreet relationship with them over the weekends with no string attached and no cash...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ni mtumishi wa serikali nimerudi tene kwenu wanaMMU Natafuta mchumba na baadae kuwa mke. Ningependa awe na vigezo vifuatavyo ...mkristo dhehebu lolote..akiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina miaka 35 mkristu wa madhehebu ya RC. Nina mtoto mmoja wa kike 7 aged na naishi IRINGA. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo . Awe mkristo wa dhehebu lolote ila kama ni islamic asiadhiri maisha...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF? Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor). Sifa za mke ambaye Napenda niwe nawe ni kama ifuatavyo:-...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mimi natatizika sana na haya maneno au labda yote hapo sawa..bila MTU akitamka au nkilisoma katika ujumbe Mfano utasikia "nipo njiani kwa gari nakuja" Mimi kwa upande wangu hilo sio sawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Asalam alykum Mimi ni kijana (29) niko Arusha muajiriwa nahitaji mchumba wa kuoa. SIFA 1. Muslim 2. Umri chini ya miaka 30 3. Unashughuri ya kukuingizia kipato Nichek pm serious
1 Reactions
0 Replies
798 Views
Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye. Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni...
4 Reactions
63 Replies
14K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam. Nakuja hapa kwa mara ya kwanza, Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi. Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu. Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani. Nimhitimu katika chuo cha veta. Tofauti na...
5 Reactions
124 Replies
18K Views
I am looking for a person who will give me company and i want a man who is good in heart,understanding,who will love me and respecting me . I want someone who is charming lokes jokes and love to...
1 Reactions
115 Replies
9K Views
Natafuta mchumba lakini awe na vigezo vifuatavyo; 1. Awe na umri kuanzia miaka 20- 25 tu. 2. Awe anajua kusoma vizuri na kuandika. 3. Awe anajua kupika vizuri na kufua vizuri. 4. Awe msafi kuanzia...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom