Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wakuu habarini, Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao. Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida. Unaweza mwambia tuvue nguo...
6 Reactions
27 Replies
8K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu! Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni. Niseme kweli kwasisi...
8 Reactions
91 Replies
12K Views
Natafuta rafiki wa kiume kwaajili ya kubadilishana mawazo.. Am not single Napenda awe rafiki ambae anaexperience na maisha hasa utafutaji pesa na Mahusiano.
15 Reactions
63 Replies
18K Views
Natafuta mpenzi alie serious tuanzishe mahusiano, umri 21-25 (KE) ALIE TAYARI KARIBU PM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kilichonileta humu ni kutoa langu la moyoni kwa yeyote ambae nafsi yake itaguswa na hitaji langu. Natumaini ninayo haki kikatiba, kidini na kijamii kuchagua aina ya mwenza ambaye nafsi na moyo...
12 Reactions
125 Replies
11K Views
#Nina miaka 26 #Masters degree holder #Tutorial Assistant katika moja ya University hapa Tz Namtafuta mchumba awe: #charming person #age 19-23 #Christian #Awe humble #Atleast awe na elimu hata...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
I'm John from dar es salaam looking girlfriend, around Dar es salaam age between 22 and above. Am single not black not white, am empolyed. For more details contact me through this number 0714540040.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Soma ujumbe wa madenge wewe mwanamke unae pigwagwa buruturu.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Niend direct kweny maada Kuna binti nmetokea kumpenda sana nmeanz nae mahusiano mwaka jana tumekua tukiendlea vzur san lakin siku ya jana cjamuelew kabsa aliniaga anaenda kukutana na kaka ake...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwema wanazengwe, Kama apo juu palivyo Mungu akijaalia baadae awe wife umri kuanzia 25yrs angalau. Mimi ni Christian, muajiriwa, my age 28 sina vipengele vingi lakin awe tayari kupima afya cha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sifa Zangu Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na...
12 Reactions
145 Replies
16K Views
Habari wanajamvi, mimi nmejiunga jf mwaka jana lakini sikua active participant sana. Leo nimeamua nije katika hii platform ya "LOVE CONNECT" namimi nitafute mtu wa kunirudisha kwenye mstari...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina miaka 24 hadi sasa, mpango wangu wa kuoa ni 2018 {NDOA RASMI). Najua sifa za mchumba zipo ambazo hawezi kujipa yeye bali mipango ya Mungu. Nahitaji walau awe na sifa hizi.. 1.Urefu wa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa.Mimi ni mwanaume mwenye miaka 34,ni mwajiriwa wa serikali.Na Ni mrefu kiasi na mnene wa wastani.Dini yangu ni RC na kabila langu ni mchaga.Natafuta mwanamke mwenye umri wa kati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SIFA AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU MIAKA 30-35 AWE MCHA MUNGU ASIWE,MCHAGA AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM 🙏
14 Reactions
65 Replies
9K Views
Mi ni mwanaume natokea nyanda za juu kusini, umri wangu uko ukingoni mwa 20's najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye yuko tayari na serious dini yangu mie mkristo, elimu ya kunitosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DADA ZANGU HUU NI MWAKA WA MABADILIKO. TAKE IT OR LEAVE IT. Umempata bwana... Umempenda kweli... Umemlalamikia kwa nini hakupeleki kwa wazazi.. Bwana akakupeleka kwa wazazi wake...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello folks!. Natafuta binti wa umri kati ya miaka 20-25, ambaye yupo single na yupo tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi. Kama upo tafadhali njoo what's app +255654198363. Tuzungumze kwa upana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi; 1 Awe mcha Mungu 2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Hakika ile furaha niliyoikosa muda mrefu, sasa imerudi. Tangu nilipoamua kuhamishia mapigo yangu kwa mke wangu na kuachana na michepuko, nimejikuta penzi letu linanoga siku hadi siku. Kila...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom