Habarini wana jf wote hususani mliopo kwenye ukurasa huu wa love connect
Moja kwa moja nizame kwenye maada
Nina umri wa miaka 28 elimu nimehitihu shadaha ya kwanza(degree) Dini ni mkristo pia...
Wasalaam wana JF.
Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-
- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza
Mke ninayemtaka awe na sifa...
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim...
Umri Wang miaka 32. dini mkristo .ni mfanyakazi? nahitaj mke awe mrembo.dini mkristo .umri 23 hadi.28 .awe mwenye kujiheshimu .ambaye Yuko serious anicheki pm
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n...
Ningependa kuchukua wasaa huu kuwajulisha wana love connect kwamba ninatafuta rafiki wa kike ambaye baadae tukijaliwa nitapenda awe mke wangu na mimi niwe mume wake. Sifa zangu kwa ufupi ni kama...
kipepe JR.
mbele yenu waungwana.
once again!
ebana kwanza niwashukuru waliolianzisha jukwaa hili, kwani ndio walionifanya sasa nimempata 'wife material'
siku chache zilizopita, niliweka bandiko...
Upweke mbaya sana, marafiki wa kike ninao, mtaani wasichana wapo ila bado sioni kama nina watu sahihi.
MIMI:
Kijana wa kiume.
Mkristo.
Mweusi, mrefu kiasi.
Sina kazi ya kudumu wala biashara ila...
Habari yenu ndugu jamaa na marafiki mliopo ndani ya Jf.,
Nia na madhumuni ya kuandika uzi huu, nihitaji la msingi kabisa ambalo kila binadamu aliyekamilika lazima alitimize.
Mim ni mhitimu wa...
Jamani wana JF,
Mimi ni mara yangu ya kwanza kuleta mchango humu ndani kutokanna na upya wangu katika majukwaa haya.
Ni mwanamke wa miaka 28. Ni mwezi wa sita sasa sina uhusiano kutokana na...
Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika.
Sifa zake..
Umri miaka 22--35
Kabila lolote
Makazi-Dar es salaam
Akiwa mnene itapendeza zaidi
Rangi yeyote
Elimu kuanzia kidato cha 4
Mrefu au mfupi vyote...
Sina la kusema, Asante JamiiForums narudia tena asante JamiiForums you are great ooh! Mpaka nitaongea kichaga sasa Aikaa JF!
Guys JamiiForums is real if you are 100% real basi una fungu lako kama...
Hello my name is John am stay in Dar es salaam. Am search for girl who can be my friend first and later if God wish we can move to another level. She should be free of herself,age 25 and above...
Nahitaji kuwa na rafiki mmoja wa kike umri usizid 30 years mwenye focus nzuri ya kimaisha na mwenye kuona mbelee..!! Km uko interested nichek kwa 0652835872
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo afrika ya kati nafanya biashara natafuta mchumba nyumbani tz
Sifa zake
1.awe anajielewa
2. Awe mkristo
3.ata km Ana mtoto 1 sio mbya maana ata mimi ninae.
Mbele ya mboni za macho yenu ndugu watazamajii!
Mfanyabiasha mkubwa na mwanasaikolojia KIPEPE, Nipo hapa kutafuta mtoto mkaliiiiiiii!!!
Ebbanaaaa! Uwe mkali aseeee! Maana komredi ni Kijana...
Aslm alykm natafuta mke wa kuowa awe na umri kati ya miaka 30 hadi 25 umri wangu miaka 36 dini muislam na yeye awe muislam kabila asiwe mchaga tabia nzuri hata kama ana mtoto mmoja sio mbaya alie...
Wale waliozaliwa siku hii ni watu wenye nguvu ambao mara nyingi huwa na wasiwasi na kusaidia jamii kufanikiwa kwa kutekeleza mabadiliko ambayo yatasaidia au kuwajulisha umma. Watu hawa wenye...
Kama mnavyo fahamu nafsi nyonge nahitaji mtu wa kuanza nae mapenzi tujaliwe tufike sehemu nzuri kwenye penzi letu
Mimi
Miaka 28+
Graduate nimeajiriwa pia nimejiajiri
Naishi DSM na ni mzaliwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.