Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 24_28.Natafuta mchumba ambaye yuko tayari aje tuyajenge tuanze maisha. Kwa kuwakumbusha tu, sina nyumba wala gari, aje tuanze kuyajenga kwa pamoja...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
mambo zenu? Natafuta mwanamke wa kuoa jamani upweke umenichosha, Kaz yangu ni Biashara Karibu Pm kwa waliotayari
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Title inajieza, natafuta mwanaume wa kubadilishana mawazo ,umri 30_ 35 pm nitajibu, kama unapatikana Moro, dar, ni nzuri zaidi
8 Reactions
58 Replies
9K Views
Umri wangu miaka 28, Mimi ni mkristo Nahitaji mwanamke wa kuoa umri wake ni miaka 20 Hadi miaka 26 awe mrembo na anayejua wajibu wake kwa familia pia mcha mungu sichagui kabila dini ila asiwe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipo dar kikazi na kimakazi nahitaj mwanamke mkweli awe mnene na mpenda kujiendeleza. Umri kuanzia miaka 25 wangu miaka miaka 49 namba Zangu 0789353455
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Masharti haya hapa »Awe tayari kufunga ndoa nami mapema iwezekanavyo ikibidi wiki ya pili au ya tatu baada ya kukutana. Sitaki maswali kwa hili nina sababu zangu. »Awe mstaarabu, wale wa macho...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano; Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu" Nina miaka 31 na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
I need some girls wanaopenda kuchat as just a friendly check m whatsupp +255656830740
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Nina miaka 27 ni mkazi wa dodoma kabila langu ni msukuma Nahitaji sana kuwa na mke sema nahofia sana kipato changu kidogo Nina biashara mbili za nguo kila biashara moja inaniingiza mapato ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
habari za muda huu tafadhali nisiwachoshe sana Bali niende straight to the point.Lakini nikili tu kwamba sio mzoefu sana katika uandishi kwaiyo nitakosea sana na muonapo makosa nisahiisheni ndugu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo. 1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea, 2: Awe anajitambua 3: Awe anaweza kuongea kiingereza 4: Awe anajua kupika na msafi 5...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwa heshima na uadilifu najitokeza hapa kumtafuta mwanamke mwenye ugonjwa wa virusi vya maambukizi ya ukimwi kiukweli,ili awe mke wangu wa maisha yote!!Mimi ni mwanaume wa miaka kati ya 47 na...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji mwanamke aje kuwa mke wangu wa maisha mwenye hali kama yangu. *Sifa zangu ni.. 1. Mwajiriwa na nimejiajiri ili kuongeza kujikimu zaidi. 2. Mrefu wa...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kama unajijua una hizi sifa kiuhalisia nakukaribisha.... Mcha Mungu sana na unaishi Kimungu na una Hofu nae Kipaumbele chako siyo Hela, Mali au Kazi kubwa kwa Mwanaume bali ni Utu, Uaminifu na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nipo dar na nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 25 hadi 60 kwa mahusiano ya dhati. Umri wangu ni miaka 49 na nipo serious with a true love tuwasiliane kwa namba 0784615578.
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Hahari wana jamvi natumaini mko poah naomba Ushauri wenu kuna bint nilikuwa na mahusiano naye toka niko mkoa mwaka 2009 tuli tulikuwa na mahusiano sasa ilipofk mwaka 2010 niko fom two bro wangu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndungu wana Jamvi nimeleta kwenu uzi huu ili tuweze kuuchambua, natumai humu wamo walioowa na wanaotarajia kuoa. Hapa utajifunza Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi kuchelewa kusimama kwa uume hasa round ya pili nikawaida au ni tatizo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom