Wakuu kama kichwa cha habari kilivo, JF kuna watoto wazuri bhana, kuna mtoto mmoja nmebahatika kujuana nae vizuri,
msiulize kama nshonana nae au bado, kiumri naona tunakarbiana, mtoto kaumbika...
Saalam kwenu wana jf ,wakuu nimechoka kua single nina mtafuta mrembo mwenye uhitaji kama wangu umri kuanzia 28 -38 alieko tayari njoo dm mengineyo mengi tutayajadili ukisha weka contact dm
Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi...
Mimi ni Kijana mchapakazi, mjasiriamali aliyeenda shule ya kutosha na mwenye mtazamo chanya kimaisha. Nahitaji mchumba wa kweli mwenye shahada ya sheria (Advocate). Aliyeko tayari ani PM tutawasiliana
Habari za wanaforum hii..nahitaji kupata mwanamke wa kupanga nae maisha.. profile yangu kwa ufupi...Age ni 31yrs' nimejiajiri Mwenyewe. Na nina kibanda changu pia hapa mjin.
Sifa za huyu...
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mkristo nimeajiriwa serikalini elimu yangu ni degree moja
Natafuta mke umri kuanzia miaka 17 mwisho 25. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipokua msabato
wa muislam...
Habari,
Kama wewe ni mdada mrembo ambaye unahitaji mtu wa kukuliwaza, kampe, story + outing kukutoa stress na kukufanya uwe na Furaha na kujua dhamani yako naomba PM tuongee zaidi,
NB: sio kwa...
Wadada mmekua na tabia ya kuwabania sex baadhi ya wanaume ambao unais ni chaguo lako, ili akuoe.
Yaani unabana kumpa mzigo kisa ukimoa unaisi atakutema, nshakosa wadada watatu.
Yaani...
Ewe mwanaume kuwa na maumbo makubwa ni sifa ama ulimbukeni naomba kujua
Wanawake mnawaharibu watoto wa kiume kama mnapenda madude makubwa naomben mlizike Na vile mungu alivyoumba
Kila sehemu...
Wakuu habarini!
Natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo.
1. Awe mweupe
2. Umbo namba nane
3. Tako liwepo la kawaida yaani lisizidi sana wala kupungua sana.
4. Elimu kidato cha nne mpk degree...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 mwajiriwa katika private sector ninatafuta binti wa kuchumbia ili baadae awe mke wangu wa maisha.
Sifa za binti
Awe mcha Mungu,
Amemaliza kidato cha nne na...
Wana jukwaa kma heading inavoonesha natafuta serious mwanamke mwenye hio age sifa asiwe na mume tu, na uwe na pesa sitaki vizinga me ni kijana wa 24yrs, nimechoka na mapenzi ya hawa mabinti bora...
Hellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.
PS Wale wa kusema mtaani kwenu...
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,mimi nikijana mwenye umli 36 natafta mchumba wa kike,haijalishi nidinigani Jambo muhimu awenimuelewa mkalimu asiye nagubu nazaidi ya yote asinipenda Sana ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.