Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mie ni kijana mwenye miaka 29, elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu nafanya kazi katika shirika natafuta mke mwenye sifa zifuatazo. 1. Awe mrefu mweusi mwembamba kiasi 2. Awe mkristu wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote. Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda...
34 Reactions
333 Replies
30K Views
Tunaishi kwenye nyakati za sayansi na technologia inayo rahisisha maisha kwenye nyanja zote zikiwepo kiuchumi na kijamii. Nina imani kupitia technologia ya mawasiliano naweza kupata mke mzuri, mke...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalim, heading yangu inajieleza wapendwa. Kwa kifupi, Umri wangu ni 32 Mkristo Mfanyakazi Elimu ni degree. Haja ya moyo wangu,Natafuta mdada awe ubavu wangu ili tutengeze familia bora. Sifa...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wana Jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke ambaye anayehitaji kuwa mke kwa dhati awe serious kwa kweli. Awe muislamu asizidi miaka 35,huduma zote kama mke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kutoa Salam zang za dhat kwenu wanamemberz wa JF,,na Allah (mwenyezi MUNGU)atuepushe na janga hili la Corona.... Nkirud kwenye mada...naam Mm ni kijana umri miaka 20,,npo DSM nasoma...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia. Umri...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mambo vipi wapendwa wa love connect? Leo nimekuja na hoja moja inayotatiza kichwa change Huwa tunaambiwa kuwa wanaume ni wachache kuliko wanawake , tena wengine wanaenda mbali kusema kuwa ni kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Just casual, no sex, no strings attached. Just looking for an outgoing lady interested in travel, hiking, swimming and food. Like tommorow I'll hook up wit some friends we are going to saa nane...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini wanajamii. Ninakuja kwenu kuleta hitaji langu la kupata mwenza aliye tayari kutulia na mume. SIFA. Dini:Yoyote. UMRI:kuanzia 30 yrs hadi 38. RANGI:Yoyote black napenda zaidi. AJIRA:Akiwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wanajukwaa, Mimi ni mwanamke wa miaka 31 Nina mtoto mmoja Ni mkristo Nimeajiriwa Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari. Awe mkristo Awe na miaka 33 -40 Awe na kazi...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Hello members,, Abushiry npo dar nahitaj marafik wa rika yoyte umri kuanzia miak17-30 umri wangu miaka 20,,wenye kuleta faida katka maisha.shukran
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Hellow wapendwa , Poleni na majukumu , Nahitaji mwanaume aliyeserious ambaye mahusiano yetu yatapelekea ndoa , awe mkristo wa dhehebu lolote , umri 36-45 ,awe mrefu mana mie mrefu na mnene kiasi...
6 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari zenu Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi dar es salaam. Natafuta mke wa kumpenda na kujenga familia nae.kwangu naona huu ndio wakati sahihi wakuanza kujenga familia. Kwanini natafuta...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Assalaam Alaykum! Mm ni mwanamke wa Kiislam umri (30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:- Awe Muislam, Awe yuko ndani ya Ndoa tayari, Umri kuanzia 35-50, Awe...
34 Reactions
190 Replies
16K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mke mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext pm kwa maelewano na maelezo zaidi umri asinizidi miaka mitano.. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu wasaalam mimi ni kijana 29 yrs kwa umri huu na kujituma ninakofanya ajitokeze msichana yeyote kuwa msaidizi wangu mwishoni tujenge familia sina uchaguzi mwingi naamin muke mwema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi. Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia katika mahusiano ili tufunge ndoa .Sifa awe mrembo mchapa kazi mwenye upendo ,dini yoyote ila tukifikia hatua ya ndoa awe tayari...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom