Natafuta jimama

Mm ni jibaba natafuta vijana kama wewe amabao hampendi kujishughulisha niwalee! ila uje umevaa msuli, kama ukivaa suruali zipu iwe nyuma!
 
Duh! nakuonea huruma na dunia hii ya leo mtoto wakiume unataka kulelewa! umelelewa kwenu mpakaa sasa unataka kulelewa na ulimwengu shame on you.
 
Pole dogo, ila angalia utkuja lelewa na wanaume sasa. wewe shida yako si upate malezi tu, basi kama magari ya kifahari utaendesha, tv flat screen inch 48 utakuwa nayo chumbani kwako, misosi ya heshima itakuwa kitu kidogo kwako kwani utakuwa unapika mwenyewe.
lkn mwisho wa yote utakuwa unavaa khanga moko, ndembe ndembe kwa kukustahi unaweza vaa na T-shirt badala ya ki-top.
si unakumbuka 20% aishaimba "chunga tamaa mbaya",
rahisisha mahitaji yako,
ongeza kipato chako,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom