Moyo unatafuta mwenzi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moyo unatafuta mwenzi!!!

Discussion in 'Love Connect' started by Man Ngosha, Jun 12, 2012.

 1. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari zenu!!
  Naitwa John nipo Dodoma,natafuta mpenzi, 22 - 24yrs aliye serious na mahusiano na mwenye focus ya maisha ya baadae!!Elimu kuanzia diploma,awe mKristu,mrefu wastani!!Mimi nina miaka 26,mrefu,mkristu,elimu yangu degree!! Itakuwa vyema kama atakuwa Dodoma!!!
  Kwa aliye tayari aniPM.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Vigezo vyako ni miaka tu? asije akakutafuta mdada wa watu ukamzingua ukaanza oooh nataka aliyesoma sijui mweupe mkristu, kama una vigezo vingine weka vyote, kama ni miaka tu, Fine utapata wako wengi.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Just trying to help, wewe huweki sifa zake, it works both ways?
   
Loading...