Kwa wanawake tu

Vumbi

Senior Member
Nov 7, 2010
191
27
Naomba mniwie radhi kwa wawe ambao nitawakwaza.

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto mmoja au wawili, asiwe na umri wa zaidi ya miaka 38. Tafadhali kama unahitaji hilo naomba uni-PM. Sababu za hitaji langu na jinsi ya kutunza watoto/mtoto tutafahamishana baada ya kupata PM yako. Pia taarifa zangu binafsi tutajulishana baada ya kupata PM yako.
 
matokeo yako ya fomu foo na fomu six yalikuwaje?

Ulikuwa bundi au msuli kitanda?
Sitaki kuharibu mbegu ya ukoo.
 
matokeo yako ya fomu foo na fomu six yalikuwaje?

Ulikuwa bundi au msuli kitanda?
Sitako kuharibu mbegu ya ukoo.
Hapo ka red nadhani itakuwa spelling mistake.... navokujua matak.o kwako siyo ishu kabisa.

Hujambo lakini? Hebu mPM mshkaji afu unambie ana moto gani? Kuna mabaamedi pale fyatanga kila siku wananiomba niwazalishe...:glasses-nerdy:
 
he he he, naona hajibu PM, au zamu yangu ya kujibiwa bado haijafika.

Anataka kugawa mbegu bila kujinadi kama ana sifa za kutosha kugawa mbegu hizo.

Anachezeya JF? Ngoja midume yenye ID na avatar za kike yaingie PM. Siku wanapanga kukutana atakiona cha moto atakapokutana na mabaunsa yanayopenda wanaume wenzao. Huyu Dave huyu.... mi napenda sana huyu Cameroon. Ameleta heshima sana huyu...:confused2:
 
Yeyote aliye ni-PM nitamjibu kila mmoja kwa wakati wake.
 
Hutaki kuoa unataka kuzaa tu!mkeo ameshindwa kazi??BTW nipm Cv yako bila kusahau amount uliyo nayo bank!
 
Dey go carry demslevs

Afu hajasema mabo ya muhimu kama financial statement, magonjwa ya kurith kama gono na sifilis.

Anachezeya JF? Ngoja midume yenye ID na avatar za kike yaingie PM. Siku wanapanga kukutana atakiona cha moto atakapokutana na mabaunsa yanayopenda wanaume wenzao. Huyu Dave huyu.... mi napenda sana huyu Cameroon. Ameleta heshima sana huyu...:confused2:
 
Duh eeeh bana eeeeeh sidhani kama wewe ni mzima , "huna ngoma kweli" hivi mwanamke wa kuzaa naye anatafutwa hivi mmmh
 
Naomba mniwie radhi kwa wawe ambao nitawakwaza.

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto mmoja au wawili, asiwe na umri wa zaidi ya miaka 38. Tafadhali kama unahitaji hilo naomba uni-PM. Sababu za hitaji langu na jinsi ya kutunza watoto/mtoto tutafahamishana baada ya kupata PM yako. Pia taarifa zangu binafsi tutajulishana baada ya kupata PM yako.

Kuna dada humu humu kaja na thread 'SIHITAJI KUOLEWA....', yeye anataka mtu wa kuzaa nae tu watoto wawili, na umri pia unaruhusu.
 
Naomba mniwie radhi kwa wawe ambao nitawakwaza.

Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto mmoja au wawili, asiwe na umri wa zaidi ya miaka 38. Tafadhali kama unahitaji hilo naomba uni-PM. Sababu za hitaji langu na jinsi ya kutunza watoto/mtoto tutafahamishana baada ya kupata PM yako. Pia taarifa zangu binafsi tutajulishana baada ya kupata PM yako.

Kwa vile unatubaguwa sichangii kitu hata kama namjuwa mtu unayemtafuta!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom