Kuuliza si ujinga!

ulipotelea wapi figganigga?

Mambo vipi dada yangu hujambo? Yapi yalikusibu hadi ukabadilisha ID? kidogo unichanganye, nilikua najiuliza nani huyu? vipi ule mpango wetu ulifanikiwa? au tuanze upya? Sema kile kigezo kimoja kiliniangusha. iliniuma sana. mimi nlikuwa busy kidogo. Pamoja sana mkuu. Mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom