Natafuta mtu wa kuniweka kimada.

Status
Not open for further replies.

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Nilikuwa na mpenzi wangu tumekaa miaka miwili ila sasa tumeshindwana.
Natafuta mtu wa kuniweka kimada/nyumba ndogo na awe na sifa zifuatazo

1. Handsome
2. Awe na uwezo wa kawaida - ka gari siyo mbaya
3. Awe anajua mapenzi ya aina zote outward and inward
4. Asiwe na familia kubwa sana, mtoti mmoja

Ambaye yuko interested ani PM fasta.
NE
 
Kumbe? Pole mwaya. . . usirudie tena kosa.

Lizzy hakuna mtu anaependa BAN ila kuna watu ndio wanasababishia wenzao BAN. Kama hapa mwenyewe niko kikazi mtu mwengine ataleta kejeli, inabidi umtolee uvivu. Na Mods hawaangalii background ya thread wanarukia tu kwenye BAN
 
Kwa hiyo katika kutumikia bann ujapata mtu baada ya kumuacha mpenzi wako wa kitambo.
 
Hehe he he unataka kuwa kimada. Mini nina sifa hizo. Ni PM unipe sifa zako na picha yako halisi na jina halafu kesho tukutane tupange mikakati. Open space tu mtoto usijali!!! Sina papara!! mambo mazuri hayataki haraka. Ila mimi sasa nataka wa jumla na wewe inaelekea unataka temporary au?
 
Nilikuwa na mpenzi wangu tumekaa miaka miwili ila sasa tumeshindwana.
Natafuta mtu wa kuniweka kimada/nyumba ndogo na awe na sifa zifuatazo

1. Handsome
2. Awe na uwezo wa kawaida - ka gari siyo mbaya
3. Awe anajua mapenzi ya aina zote outward and inward
4. Asiwe na familia kubwa sana, mtoti mmoja

Ambaye yuko interested ani PM fasta.
NE
Ingekuwa vizuri kama ukiweka sifa zako pamoja na picha kama vipi ili tujue kama unafaa kuwa kimada au wakumalizana leo leo tu.
 
Afu mkishushiwa kipondo na mother house mnaanza ooh deal na mmeo kwani nlimfata kaja mwenyewe. Mnasahau kuwa siku hizi wanawake nao wanatongoza.

Nilikuwa na mpenzi wangu tumekaa miaka miwili ila sasa tumeshindwana.
Natafuta mtu wa kuniweka kimada/nyumba ndogo na awe na sifa zifuatazo

1. Handsome
2. Awe na uwezo wa kawaida - ka gari siyo mbaya
3. Awe anajua mapenzi ya aina zote outward and inward
4. Asiwe na familia kubwa sana, mtoti mmoja

Ambaye yuko interested ani PM fasta.
NE
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom