Natafta mchumba wakunisaidia kurun biznez yng ya cyber cafe!

Jaman natafta mchumba aliye somea ICT aje anisaidie kurun biznes yng ya cyber cafe!
Bado hujaeleweka kabisa.
Why mchumba?
Mchumba ni mtu anayetakiwa kuoa au kuelewa, sasa wewe unataka wa kukuendeshea Cafe yako ili iweje? No any colleration. Labda kama unataka masuala ya mapenzi kwenye biashara yako.

Okay, tukuchukulie hivyo hivyo, sasa jieleze wewe ni wa kike au ya kiume ili hao wachumba wajue wanakuja kuchumbiwa au kukuchumbia.
 
Bora utafute mfanyakazi tu kieleweke,uchumba na business wapi na wapi.

Dedication;SUPU UMETIA NAZI.(DDC Mlimani park Orchestra)
 
Jaman natafta mchumba aliye somea ICT aje anisaidie kurun biznes yng ya cyber cafe!

Kweli dunia hii ina mchanganyiko wa watu, mchumba wa ku-run internet cafe, kwa hiyo biashara ikifilisika, uchumba unavunjika unaruhusu mwanaume mwingine amwoe looo..!!!
 
Mchumba wakuendesha biashara zako, kikawaida mchumba ni kuoa na kuanzisha familia,

Jipange upya
 
Kweli dunia hii ina mchanganyiko wa watu, mchumba wa ku-run internet cafe, kwa hiyo biashara ikifilisika, uchumba unavunjika unaruhusu mwanaume mwingine amwoe looo..!!!

usishangae mkuu division 5 hizo si ounaona mwenyewe ajui hata kujieleza
 
je kama an proffesional yake and kwa ushauri tu nenda jukwaa husika katafute wafayakazi wa cafe huku ni mambo ya mahusiano :A S-confused1::A S-confused1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom