mzee wa nguna
Senior Member
- Dec 5, 2012
- 138
- 139
Kuna dada mmoja ambaye anafuatiliwa kwa saana na kaka mmoja. Mwanzoni huyo dada alianza kuufungua moyo wake kama amkubalie,lakini kadiri walivyoanza kuzoeana huyo dada amegundua kwamba mwenzie hakidhi kabisa vigezo vya kuwa mpenzi wake. Sasa kila akijaribu kumpotezea yule kaka anapagawa balaa,anabembeleza na kushawishi kwamba atamvumilia tu hivyo hivyo hata kama ham-feel eti atamsaidia kadiri safari ya maisha inavyosonga. Wanaishi mikoa tofauti,asipojibu meseji wala kupokea simu kaka wa watu anasafiri hadi aliko huyo binti.....afanyeje naye ameshaamua kwamba huyo mwanaume hamfai? Kwanza umri mdogo halafu anaganda sana,boring!