J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
habari zenu nyote humu ndani mimi ni mgeni kabisa kwa hii forum but kuna kitu nimejifunza kuna baadhi ya watu hawako serious kabisa kiasi ambacho wanawaharibia baadhi ya wenzao walio na uhitaji kama huna topic ya maana na hauko serious bora ukae kimya tu kama nlivyokua mimi jaman.....