Kama ww umeoa au unamchumba alaf shughuli zimekubana sana(upo busy) natoa huduma ya kumridhisha mkeo/mchumba wako kwa kipindi chote utakacho kuwa busy kwa gharama nafuu tu......
Wenye shida wanichek
Naitwa Sam from dar es salaam,24 miaka yang,mm ni mweupe,mrefu wa wastan halafu modal.Natafuta msichana/mpenz mweny sifa hizi.1, umri miaka 19 mpaka 23. 2,Asiwe mnene wala mwembamba size ya kat na...
Naitwa Sam from Dar, nina miaka 24,mrefu wa wastan,mweupe halafu modal.Natafuta mpenz umri kuanzia miaka 20 mpaka 23,Awe rangi yeyote ile mweupe,mweusi au hata mzungu kama yupo,asiwe mnene wala...
Heruaa heruaa herua
Jamani kumekua na thread nyingi za kutafuta waume,wake,wapenzi
Na kadhalika
Ingekua poa sana kama mkitujulisha hao watu mnaowatafuta kama mmewapataa heeeeeeeee...
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 32,Mtanzania,Mkuria,mkiristo,mrefu futi 5'9,mweusi kidogo(maji ya kunde),umbo langu ni la wastan,graduate,nafanya kazi serikalini,nipo Mwanza mjini,nahitaji...
Kwa kautafiti kangu kadogo nlikokafanya nmegundua kwamba wanawake wenye urefu wa kuanzia ft 5.6 ni warembo na kwenye mambo yetu yaleeee ndo wenyewe
Msichana mwenye urefu kuanzia ft 5.5 anitumie...
Uwe na shape angalau, yakuniweka roho juu, niwah kurudi nyumbani, employed or selfmade any education Level,serious one, good hearted, pliz be kind enough
Sifa za Mwanamke-Awe muislam anaejua dini na mwenye kujistili,elimu yoyote,alie wai kutendwa, mwembamba kiasi,mwenye subla,awe tayari kuijenga familia.........Nb. sio mzaha kama ukotayari ni inbox!
Nishakuwaga na mtoto tangu nikiwa form 4,so biashara hiyo nishamalizaga.Natafuta demu tasa tule bata mpaka tuzikane.
Sifa nyingine ni awe murembo kwa kiasi chake au zaidi,sio mnene wala kimbao...
wakuu nimechoka kuwa mpweke naitaji girlfriend mwenye tabia nzuri mcha mungu awe mweupe au maji yakunde,urefu na umbo awe wawastani tu aliyetayari anaweza nichek fbk mussawilheliam@gmail.com
Natafuta msichana ambaye atakuwa mchumba na kisha mke wa ndoa. Umri kuanzia miaka 20-25. Awe mcha Mungu na kwa mawasiliano ani PM. Thanks kwa kunielewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.