Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mambo zenu Wadau mlio jukwaani Nahitaji Marafiki tunaoweza kuchat,kufahamina,nakubadilishana mawazo mbali mbali ya michakato ya maisha ikiwezekana hata kupeana namba za mawasiliano. Alie tayari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta garlfriend naejiheshim sifa zake km ifuatavyo 1, hawe anajiheshim sana 2, hawe mpole asiwe mwingi wa mambo. 3, hawe mwelewa 4, hawe na heshima kwa watu 5, hawe na akili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta girl wa kuchat nae na kuwa marafiki 0786237866
0 Reactions
1 Replies
618 Views
cna mengi zaidi ila we kama uko poa niambie kupitia aleinerick@gmail.com umri wangu miaka 30 yeyote mwenye mapenzi ya kweli.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa Rajj nipo nipo Chuga, nina umri wa miaka 25. Natafuta binti wa kiarabu umri kati ya miaka 18-24 kwa ajili mya kumuandaa kuwa mke wangu. Nitumie meseji no 0766341701 au email...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafiti katika mazingira tofauti kusikiliza katika vyombo vya habari kusoma magazeti kuwauliza watu na shahidi mbalimbali kutoka kwa marafiki zangu lkn wakati mwingine kuona kwa macho...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habri wanajamvi. Mimi ni kijana aged 25 na miezi kidogo. Nimebahatika kuwa katika mapenzi na msichana mmoja hivi wa age ya 22 kwa sasa na tunapendana sana.Tulibahatika kupata mtoto wa kike ambaye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I dont mean the one who have maybe a degree no i mean the one who knows her position as a woman and responsibility only dat can lead a family
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Habari wana MMU! Najitokeza kwa mara ya Kwanza kuleta hitaji hili. Jinsia yangu:Mwanaume; Umri wangu: 28 ; Elimu Yangu: Degree; Kazi Yangu: Mwalimu Sekondari; Makazi yangu Dar es...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa upande wangu kifupi. -Jinsia: Mwanaume/ME -Umri wangu miaka 30. -Urefu: 173CM -Kwa wapenda nyota mimi ni Gemini (17/june) -Imani:Mwadventista Msabato -Kazi: Mwajiriwa na ujasiriamali kidogo...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
  • Redirect
Ndg zang polen na majukum...natumain mu wazima wa afya. Mwenzenu napata wakati mgumu hasa napomwona mwanamke ambaye nampenda,tatzo naogopa kumfuata kwa kujihofia kuwa ntamwambia nini &ntajibiwa...
0 Reactions
Replies
Views
mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo 1-jmosi tunaenda mlimani...
10 Reactions
236 Replies
19K Views
jamani wanaume natafuta mchumba wa kunioa mbona hamnipm?
5 Reactions
53 Replies
7K Views
kusomana tabia kama kweli unafaa/ au nafaa kuwa mumeo,awe ni mwenye akili safi na heshima ya kufaa kuitwa mke wa fulani. Awe tayari kupima afya, umri ni miaka 18-27 sichagi dini, kwani hiyo ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi JF. I'm male 34 of age, 5.5" tall, Univ level education, Employed, standard earning, Living in Dar, Looking for wife (Not girl friend). She should be pretty, Tall, Curved in shape, Not more...
0 Reactions
2 Replies
996 Views
me n mwl. 25 yrs, natafuta mchumba baadae aje kuw mke, interested beep me on 0683218718.
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Naitwa Janeth Shawa miaka 29, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli umri kati ya miaka 29 mpaka 40 ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa,Ambaye hana mke,akiwa na mtoto au watoto sio...
5 Reactions
65 Replies
11K Views
Hello. Natafuta marafiki wa kuchat nao na kushauriana maisha.Sichagui jinsia.Sifa awe mtu mzima umri kuanzia miaka 27 hadi 30 ,mwenye hekima na busara,mcha Mungu tutaendana sana na nitawapa...
1 Reactions
3 Replies
835 Views
.Mimi ni msichana umri 21-22 natafuta mpenzi: sifa; 1.awe na kazi inayotambulika. 2.asiwe mchoyo wala m'binafsi wala mpekee. 3.awe mrefu mnene kiasi na mweusi kiasi 4.awe msafi wa ndani na...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Nipo Geita,natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuish maisha ya ndoa! Sifa zangu nitamwelezea endapo atakuwa tayari na kunitafuta kwa nambari 0759947397.Ingependeza zaidi naye awe maeneo ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom