Wanajf nimempata kijana wakulisha ngombe.sahvi nahitaj mke wakuoa.ila sharti awe na ngombe moja au angalau hat namilion1
kweli we ugolo....
jamani huyo jamaa anafaa sna..sbb ni mkweli.mm nampa big up
Hata mi sijasema hafai....
itabidi hiyo system iendelee kwenye maisha yake
wife akibeba mimba the next mimba abebe yeye
Mkuu ugoro kwahapo nimekukubali mwanaume saaaafii sna
mbona hamna wakunipm au mmeisha?au nilegeze masharti?au mnatakaje au haumpo?
upati ng'o! Nan anataka kupigwa teke na ng'ombe wakat wa kukamua,mbona hamna wakunipm au mmeisha?au nilegeze masharti?