Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wote! Mimi ni msichana mrembo nasoma chuo kwa sasa. Natafuta jibaba lenye nazo ambae ataweza kunilea na mimi ntampa penzi zito!, Nipo serious sihitaji wa kucheza na hisia zangu kwani npo...
0 Reactions
81 Replies
12K Views
Natafuta mchumba wa kike awe na elimu kuanzia fomu 6,ameokoka,mfupi,mweupe,awe anapatikana dar,awe serious na tayari kupima HIV kiukweli nikimpata nitampenda na kumtunza please kama hauko serious...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wapendwa, Mimi natafuta mke....kwa sababu nimechoka na maisha ya u-single. Sifa za mke ni mpendaye ....awe: 1. Daktari au Nesi......iwe tayari ameajiriwa na sio mwanafunzi, au awe 2...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mdogo wangu aishie moshi anatafuta mke mkristo born again. kazi yake ni mwl. wa shule ya msingi yupo moshi(wilaya ya same). umri wake ni 33yrs. kama uko serious pm nikupe namba yake ya simu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
hallow wana JF Najitokeza kwa mara kwanza hapa JF kutafuta rafiki wa kike ambae baadae atakuwa mke wangu,mimi nina sifa hizi -umri wangu ni miaka 36 -urefu ni cm 168 -siyo mwemba siyo mnene ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani bandugu mi natafuta mpenzi wa kuanzanae maisha yaani kufunga nae pingu za maisha awe mke wangu.awe natabia nzuri pia awe mwalimu wa shule ya msingi! Ambae yuko tayari tuwasiliane!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasifu wangu Age:26 Elimu:degree Kazi:teacher Mwonekano:angalia avatar yangu Wasifu wa ninaemtaka Age: 20 na kuendelea Elimu:diploma au zaidi Kazi:yoyote Imani:mkristo Mwonekano:awe mzuri wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyakazi na nimeajiriwa na serikali elimu yangu ni ya chuo kikuu nina shahada moja ni mkristo najitokeza kwenu nyie akinadada ambao ni walimu nesi na hata polisi km uko tayari kuanza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mimi ni msichana, nimeajiriwa, natafuta mwenza awe muislam, miaka 36-45 anayeishi tanga
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibuni wa ukweli.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello, İ just moved here and was looking for some fun and adventures. İ am looking for a girl company that would make my stay comfortable/fun. Coincident,İ am single too and so...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
mimi ni kijana (mwanaume) mwenye umri wa miaka 27, ni graduate, bado sijabahatika kupata ajira... natafuta rafiki wa kike popote pale ambaye ikiwezekana tuje tukaanze naye maisha kwa baadaye...
1 Reactions
0 Replies
927 Views
am a boy nahtaj dem mweus au maj ya kunde, wa kutoka naye out nitamtunza kama anavyotaka yey, 0758390103
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari girls? natafuta mwamke awe mpenzi wangu kwa sharti la kunivumilia maana mimi nimepitia katika mapenzi ya jinsia moja so nataka mwanamke atakeweza kunifanya nikasimamisha vizuri tunapokuwa...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Natafuta mwanamke wa kufurahishana tu sio kuolewa .Kama upo nipm
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa binti anayehitaji kuolewa mwaka huu ni pm, sina masharti mengi ila tu umri asizidi 27yrs na at least form 6, nawakilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salam, Natafuta binti wa kunipenda katika msimu huu wa wapendanao, VIGEZO, Umri miaka 18 hadi 24, mweusi, asiwe mnene , mrefu, mtanzania, anayejieshimu. Aliye tayari ani PM
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii Girl, Naitwa Erick nina umri wa miaka 28, single boy! nafanya kazi napenda kuwa na Friends wa kike kwa ajili ya kampani, kama ku chat outing na kubadilishana mawazo ya kimaisha na maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
mm ni mwanamke, nina miaka 35, nimeajiriwa, sifa awe na miaka 36-45, anayeishi Tanga, muislamu anayeijua dini, awe na mapenzi ya kweli aliyetayari tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ningependa kupata mwanamke aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto 2 wakubwa , ningependa...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom