Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ni sahihi au nimeharakisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi hapa please....
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuoa,awe serious ktk mahusiano.Awe na sifa zifuatazo.Mrefu,mrembo,mkarimu na staha.kabila lolote na umri usizidi 26. Uko tayari uni-pm au nicheki 0787861295
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serious, Mimi ni mwanaume (mvulana) wa miaka 26,,Jina langu ni hili nalolitumia humu JF. Ni mhitimu wa college kwa sasa nafanya shughuli za ufundi na biashara,nina mtoto mmoja wa kiume ambaye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni Kijana Mrefu Kiasi, Mwenye umbo la kuvutia lililojengwa ni Gym Kidogo mwenye mapenzi ya Kweli 0762575887
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mimi ni kijana wa miaka 30 nafanya kazi katika kampuni ya paraguya foundation iliyopo dareslaam natafuta mchumba
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa dada yoyote atakuwa na sifa tajwa hapo chini na awe tayari kwa moyo wa dhati kuwa mpenzi, mchumba na badae kuwa mke, basi PM. SIFA ZAKE 1) Awe na umri wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwako bwana utafitisalam. Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am...
3 Reactions
104 Replies
8K Views
k
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Vigezo awe na mapenzi ya kweli lakini pia awe na pesa.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 26,rangi yangu nyeupe na mtanashati, naishi BahariBeach na namba yangu 0689315582 nataka rafiki wa kike mrembo anayejitambua na awe yupo serious na anachokifanya.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana-MMU na Love Connect, Mimi ni kijana mtanzania,natafta mwanamke ambaye nitaanzisha nae mahusiano ya kimapenzi ambaye baadae atakuwa mchumba wangu na Mungu akijalia tufunge pingu za...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Hello addressees, as the title reads, am a male aged 32 yrs., Christian, working in one of the government institutions in Dar es Salaam, a university of Dsm graduate (Economist), looking for a...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
msichana wife material anatafutwa. sifa zinazotakiwa: Age not above 35 Education....not below form iv Religion..any but christian will be preferred Awe ready for marriage a year later. Awe...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Najisikia leo kukaa na demu ambaye sijawahi kumuona, nikae naye walau hadi mishale ya saa 2 hivi; tukapate lunch, vinywaji, tubadilishane mawazo ila tusiingie kwenye majaribu ya kuvunja amri ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mie nina umri wa miaka 25 Ninatafuta rafiki wa kike miaka 18-30 wa kuchat naye na kabila na dini yoyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani rafiki yangu ataka hookup on this saturday..she charming,anapenda mziki,she drinks na akilewa ndo anacheza balaa..for a guy in Morogoro n your up for the hookup pm me..ila make sure ur...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naitwa m.p ,naish dar natafta mke wakuanza nae maisha,nipo chuo mwaka wapili dsm.umr wangu 30,maji yakunde,pombe wala sigara stumii,sina mtoto.nimtaftae awe na elimu kuanzia chuo,dini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom