Nahitaji Mchumba

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Nahitaji mchumba wa kua naye kimahusiano ya kimapenzi

MASHARTI:

Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 27, mimi nina 25

Awe mrefu
Awe mweusi
Awe na matiti ambayo hayajalala
Awe na mwili wenye mvuto
Awe na makalio makubwa, japo sio makubwa sana lakini yawe ni yenye kuvutia
Asiwe anaweka nywele za bandia, hata kama ndogo lakini ziwe za kwake by nature
Awe Mtanganyika (Mtanzania Bara)
Awe tayari kunipekeka kwao na kunitambulisha na awe tayari kunifata nyumbani ikihitajika kufanya hivyo
Awe hatumii kilevi cha aina yeyote
Asiwe na sura mbaya sana hata kama sio mzuri lakini awe anavutia japo kidogo
Awe na elimu japo ya darasa la 7
AWE NA PESA (MIMI SINA KAZI YA MAANA ILA NINACHOTAKA NI KUMPA MAPENZI YA KWELI NA MAHABA MAZITO TU
Awe anaweza kukukuruka vizuri awapo kwenye mambo yetu na asiwe mvivu (mda wote nikihitaji kung'onoka awe sawa)
Asiwe mwenye kugawa mapenzi kwa wengine, na nikigundua hilo asije kunilaumu
ASIWE MWANACHAMA WALA MFUASI WA CCM
NB: AM SERIOUS AND BE SERIOUS
Contact by me on mikatabafeki@gmail.com

NAKARIBISHA MASUALI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom